Wapinga Chanjo, ARVs na Condom msichekelee sana amri ya Trump kusitisha misaada

Hard times will make you africans wiser, haiwezekani nyie pesa ni za kuletea heshima bar halafu huduma muhimu mtegemee wazungu, haiwezekani hata kidogo
Nadhani maneno "kuleta heshima bar" ni kiwakilishi cha ufujaji mwingine kama manunuzi yasiyo ya lazima kwa vitu na huduma mbalimbali kama magari ya kifahari,utalii/vacations usio na tija,ufisadi,uzinzi,utoaji zawadi za hovyo na hongo aka rushwa nk.
 
Heri tunyimwe kabisa akili zitukae
 
Toka Juma lililopita nimeanza kautaratibu kakubeba tuchupa tunne tunne twa dawa za ARV hapa kazini ili zikiwa hadimu bila laki sikupi hata kachupa kamoja.

Uzuri wagonjwa ninawajua na ninao hivyo habari ya market sio shida Ila nasubilia demand tu ili niwe tajiri .

Trump ni mwamba sana
 
Umepiga humohumo nahatahizohela zikija badozinachotwa.tufanyeje sasa maana tunaowaamini ndiyowanatugeuka
 
1. Wabadili mienendo yao la sivyo watapotea.
Kuna watoto wanazaliwa na HIV, kuna watu wanabakwa na watu wenye HIV, kuna mabinti wadogo wanarubuniwa na wanaume wenye HIV
 
Nimekuelewa kwani sups pawa na 2 hawezi kuziba pengo hilo
 
Trump Apige Marufuku Viongozi wakuu Afrika Wabunge, Mawaziri na Marais Kusafiri Kutoka nje ya Nchi zao kwa shughuli zisizo za kijumuia. Balozi zitumike.
 
Kuna watoto wanazaliwa na HIV, kuna watu wanabakwa na watu wenye HIV, kuna mabinti wadogo wanarubuniwa na wanaume wenye HIV
Kuna watu hawawezi kutulia na mwenza mmoja

Kuna watu wanaona sifa kuwa na wenza wengi
 
Majaribio ya hizo condom mpya atakazotengeneza iwe yeye kwanza afanye mapenzi na mtu mwenye ukimwi atakayejitolea.
TBS wapo wataangalia namna bora zaidi kuliko mwanasayansi wetu aanze kulala na waathirika
 
Donald trump does not care ! Jamaa ameingia tu mzigoni kashaenda kinyume na sheria nyingi tu za nchi yao na na hii ni kwa manufaa ya nchi yao kiujumla guy is a genius .

Waakati nyie mncheza draft jamaa anacheza chess endelea kutegemea kwamba hayo majimbo yatabadili lolote uzuri kila analofanya trump kuna sababu nyuma yake na ukitaka atakupa sababu nyingi zenye mantiki .

Na jamaa ana support kubwa sana nyuma yake raia wanampenda , jeshi hivyo hivyo sijui itatumika njia gani? Anyways lets wait maybe kuna kitu kitatokea cha tofauti.
 
Well said
 
Yaani kiongozi wa nchi anaenda kanisani kutoa sadaka ya milion 100 lakini milion 20 za kujenga vyoo kwenye shule fulani hizo hazipo mpaka Japan aje kutoa msaada wa kukujengea hivyo vyoo.
Na watu hapo church wanapiga makofi, na sisi waimba pambio tunaongeza sauti "mitano tena"
 
hii nzuri sana maamae maana hata hao wabunge mbunye nyingi wanazonunua zina maambukizi Trump kazaaaaaaaa ili tunyooke maamaaae zetu, kwani tulitumwa tuwe masikini hata wa kufikiri? taifa hili sio masikini hayo ma V8 wanayonunua kama njugu wankosaje hela ya vidawa , kwani hao wanaougua wenyewe wako wangapi? tusilalamike tu iujinga ujinga sisi sio masikini ila watawala ndio wametufikisha hapa tulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…