Chalii flani
Member
- Nov 5, 2021
- 67
- 166
Endapo vyama vya upinzani mtajipanga vizuri na kuacha blah blah mkatuletea wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa mwaka 2025 utakuwa mwepesi Sana kwenu
Fanyeni haya yafuatayo
Uongozi wa awamu ya sita umekosa mvuto kabisa kwa wananchi umekua Na maumivu makubwa Sana kwa wananchi badala ya kua faraja.
Serikali umeshindwa kabisa kufikiria namna ya kupata fedha kwa kupitia rasilimali tulizobarikiwa nchini kwetu badala yake wamewageukia wananchi wa nchini na kuwanyanganya hata kile kidogo wanachokipata kwa kupitia tozo,Makato ya umeme kila mwezi,na kuongeza Kodi kwenye mafuta Hali inayopelekea bidhaa kupanda haya yote yanawaumiza Sana wananchi.
Wapinzani jipangeni vizuri mtuletee wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa 2025 utakua mwepesi Sana kwenu.
Fanyeni haya yafuatayo
- Andaeni wagombea watakaokua na sera nzuri kwa wananchi
- Vipaumbele vyenu viwe Ni kuwainua na kuwapambania wananchi wa Hali ya chini zaidi Kama alivyofanya hatari dk Magufuli.
- Ikiwezekama unganeni mpate mgombea mmoja anaeeleweka pambaneni ipatikane tume huru ya uchaguzi,
- Tafuteni Ni mbinu gani mtatumia kulinda kura zenu zisiibiwe,
- Endeleeni kupambania Katiba mpya bila kuchoka