Wapinzani 2025, nchi iko wazi

Wapinzani 2025, nchi iko wazi

Hakuna upinzani na mnaogopa watu kufanya kamkutano mtaani. Kweli CCM iliondoka na Nyerere.
Upinzani gani we nawe wa kuogopa mbona mashekhe wa uhamso wanafungwa hakuna upinzani mm na akili timamu nichague chadema labda nimekufa
 
Kwa yeyote mwenye vinasaba vya ufisadi,ulevi ushabiki wa ukiukwaji haki,hawezi kupenda chadema,kabla ya kuelimishwa na kuwa aache mahaba na atabue lipi jema nalipi baya ,na haki ni ipi bado ataendelea kuamini kuwa uovu ni sehemu ya maisha.
 
Endapo vyama vya upinzani mtajipanga vizuri na kuacha blah blah mkatuletea wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa mwaka 2025 utakuwa mwepesi Sana kwenu

Fanyeni haya yafuatayo
  • Andaeni wagombea watakaokua na sera nzuri kwa wananchi
  • Vipaumbele vyenu viwe Ni kuwainua na kuwapambania wananchi wa Hali ya chini zaidi Kama alivyofanya hatari dk Magufuli.
  • Ikiwezekama unganeni mpate mgombea mmoja anaeeleweka pambaneni ipatikane tume huru ya uchaguzi,
  • Tafuteni Ni mbinu gani mtatumia kulinda kura zenu zisiibiwe,
  • Endeleeni kupambania Katiba mpya bila kuchoka

Uongozi wa awamu ya sita umekosa mvuto kabisa kwa wananchi umekua Na maumivu makubwa Sana kwa wananchi badala ya kua faraja.

Serikali umeshindwa kabisa kufikiria namna ya kupata fedha kwa kupitia rasilimali tulizobarikiwa nchini kwetu badala yake wamewageukia wananchi wa nchini na kuwanyanganya hata kile kidogo wanachokipata kwa kupitia tozo,Makato ya umeme kila mwezi,na kuongeza Kodi kwenye mafuta Hali inayopelekea bidhaa kupanda haya yote yanawaumiza Sana wananchi.

Wapinzani jipangeni vizuri mtuletee wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa 2025 utakua mwepesi Sana kwenu.
Ama kweli akili zako ziko kwenye makalio
 
Kwa yeyote mwenye vinasaba vya ufisadi,ulevi ushabiki wa ukiukwaji haki,hawezi kupenda chadema,kabla ya kuelimishwa na kuwa aache mahaba na atabue lipi jema nalipi baya ,na haki ni ipi bado ataendelea kuamini kuwa uovu ni sehemu ya maisha.
Chadema ndo namba moja Kwa uliyoyataja mwenyekiti mmoj tangu mwanzo chama Cha ukabila Wacha kupigia debe ugali wako hakiingia ng'o madarakani hatuwez kusapoti walevi wa kaskazini
 
Ila kwenye mambo ya msingi punguza mahaba ili usiendelee kuwa kipofu
 
Endapo vyama vya upinzani mtajipanga vizuri na kuacha blah blah mkatuletea wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa mwaka 2025 utakuwa mwepesi Sana kwenu

Fanyeni haya yafuatayo
  • Andaeni wagombea watakaokua na sera nzuri kwa wananchi
  • Vipaumbele vyenu viwe Ni kuwainua na kuwapambania wananchi wa Hali ya chini zaidi Kama alivyofanya hatari dk Magufuli.
  • Ikiwezekama unganeni mpate mgombea mmoja anaeeleweka pambaneni ipatikane tume huru ya uchaguzi,
  • Tafuteni Ni mbinu gani mtatumia kulinda kura zenu zisiibiwe,
  • Endeleeni kupambania Katiba mpya bila kuchoka

Uongozi wa awamu ya sita umekosa mvuto kabisa kwa wananchi umekua Na maumivu makubwa Sana kwa wananchi badala ya kua faraja.

Serikali umeshindwa kabisa kufikiria namna ya kupata fedha kwa kupitia rasilimali tulizobarikiwa nchini kwetu badala yake wamewageukia wananchi wa nchini na kuwanyanganya hata kile kidogo wanachokipata kwa kupitia tozo,Makato ya umeme kila mwezi,na kuongeza Kodi kwenye mafuta Hali inayopelekea bidhaa kupanda haya yote yanawaumiza Sana wananchi.

Wapinzani jipangeni vizuri mtuletee wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa 2025 utakua mwepesi Sana kwenu.
Mazuzu ndio watawaelewa wapinzani njaa hao.
 
Wengine tumesharidhika na mama, hatutaki mwingine....nimetumia neno (SISI) kwa maana wanaomkubali mama ni wengi....mabest wangu mtanisamehe kwa hili......
 
Endapo vyama vya upinzani mtajipanga vizuri na kuacha blah blah mkatuletea wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa mwaka 2025 utakuwa mwepesi Sana kwenu

Fanyeni haya yafuatayo
  • Andaeni wagombea watakaokua na sera nzuri kwa wananchi
  • Vipaumbele vyenu viwe Ni kuwainua na kuwapambania wananchi wa Hali ya chini zaidi Kama alivyofanya hatari dk Magufuli.
  • Ikiwezekama unganeni mpate mgombea mmoja anaeeleweka pambaneni ipatikane tume huru ya uchaguzi,
  • Tafuteni Ni mbinu gani mtatumia kulinda kura zenu zisiibiwe,
  • Endeleeni kupambania Katiba mpya bila kuchoka

Uongozi wa awamu ya sita umekosa mvuto kabisa kwa wananchi umekua Na maumivu makubwa Sana kwa wananchi badala ya kua faraja.

Serikali umeshindwa kabisa kufikiria namna ya kupata fedha kwa kupitia rasilimali tulizobarikiwa nchini kwetu badala yake wamewageukia wananchi wa nchini na kuwanyanganya hata kile kidogo wanachokipata kwa kupitia tozo,Makato ya umeme kila mwezi,na kuongeza Kodi kwenye mafuta Hali inayopelekea bidhaa kupanda haya yote yanawaumiza Sana wananchi.

Wapinzani jipangeni vizuri mtuletee wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa 2025 utakua mwepesi Sana kwenu.
Nchi iko wazi 2025[emoji849][emoji849][emoji849]?
Kumbuka kila tunapopiga kura za maamuzi usimsahau KINGAI na genge lake wanapoenda kubadilisha matokeo
 
Back
Top Bottom