Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mtu anakaa kwenye daladala na kasimu kake ka mkopo anaandika NO REFORMS NO ELECTION then anasubiri kusikia INEC imesogeza uchaguzi mbele.
This is totally madness.
Sheria za uchaguzi ziko wazi.
Uhalali wa uchaguzi haupo kwa wingi wa watu waliojiandikisha kupiga kura au kwa wingi wa watu waliopiga kura.
Hata wakipiga kura 2% tu kati ya waliojiandikisha kupiga kura bado uchaguzi utahesabika umefanyika na mshindi ataapishwa.