Pope
Senior Member
- Dec 3, 2007
- 117
- 0
- Thread starter
- #21
Nasimama Jimbo la Kilombero 2015 , kwa chama gani kwa sasa mapema mno kusema na nitakumbusha hapa hapa Inshallah Mungu akijalia.
Sera ni Imani na vision ya chama. Upinzani si lazima chama kwa Chama unaweza kuwa mpinzani ndani ya chama, kwani wakati mwingine Chama kina Sera nzuri ila watekelezaji wanakuwa na maslahi yao binafsi bila kufikiria wapiga kura ambao ndio wamewapa dhamana ya uongozi.
Shime wana JF jitokezeni kwani FM Academia wanasema "...Matako ya sufuria haiogopagi moto"