Wapinzani Chukue Viti vya Ubunge kwanza....

Nasimama Jimbo la Kilombero 2015 , kwa chama gani kwa sasa mapema mno kusema na nitakumbusha hapa hapa Inshallah Mungu akijalia.

Sera ni Imani na vision ya chama. Upinzani si lazima chama kwa Chama unaweza kuwa mpinzani ndani ya chama, kwani wakati mwingine Chama kina Sera nzuri ila watekelezaji wanakuwa na maslahi yao binafsi bila kufikiria wapiga kura ambao ndio wamewapa dhamana ya uongozi.

Shime wana JF jitokezeni kwani FM Academia wanasema "...Matako ya sufuria haiogopagi moto"
 

vinginevyo itakuwa kama ile hadithi ya mbwa wa dodi!!!. Get up, get out and do something.
 
Mbinu za kuing'oa SISIEMU zipo tayari na zinatumika kwa nguvu zote.
Tatizo ni pale SISIEMU ikibaini imeshindwa inatumia Polisi FFU na Fedha za walipa Kodi na Vitisho visivyo vya lazima, kama kuwaeleza wananchi kwamba machafuko yatatokea endapo upinzani utachukua kiti.

Vyama vya Upinzania vikitaka kuchukua hatua kamili kuikabiri SISIEMu katika ununda wake maana yake ni kuanzisha vita. Kwa sababu vyama vya upinzani havina jeshi ni wazi vita ikizuka ni kukimbilia msituni tu.

Aina za siasa kama hii ya kudai haki(sheria) kwa nguvu ni common sana barani Afrika. Ni wazi vyama vya upinzani vinajua madhara ya kutumia nguvu badala ya hoja katika kutwaa madaraka ndiyo maana hata pale SISIEMU ikibebwa na FFU vyama vya upinzani vinaendeleza kauri na hoja za nguvu bila kutumia mabavu.

Sidhani kama chaguzi zijazo litakuwa ni suala la kusindikiza SISIEMU, majira yanabadirika na watu wanabadirika.[/QUOTE]



Haya ndio yanayotokea Zanzibar kila wakati wa uchaguzi - Mungu atuepushie mbali na kama si kuwa kuna Muungano na jeshi huhamia kule na ROCKET RANGERS zao mitaani basi kungalikwisha kuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe nasema tena Mungu atuepushe nayo

Kuing'oa CCM kunahitaji mikakati na si kukurupuka kwa mwendo wa sasa na chaguzi zilizopita tutaisindikiza milele.[/QUOTE]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…