Wapinzani Chukueni Tahadhari, Njama Walizopanga CCM Kuelekea Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa 2019


Ukitaka kujua kinachopangwa angalia jinsi Jafo alivyokigeugeu, leo anasema hili kesho hili.
 
Mkuu ahsante sana kwa taarifa hizo za huko JIKONI. Nina amini Vyama husika watazifanyia kazi, ili hawa MABEBERU WA AFRIKA waendelee kudhibitiwa ipasavyo.
Shukrani mkuu ndio jukumu letu hili.
 
Uandishi wako unathibitisha kuwa taarifa hii imejaa uwongo mtupu!
Uongo upi sasa hali kila kitu kiko wazi.
Wanyimwe fomu wadai fomu kwa nguvu wabambikwe kesi ya uhaini waozee jela hadi uchaguzi mkuu upite.Kesi waliyonayo cdm ni muendelezo wa ushahidi inasogezwasogezwa ukaribie uchaguzi wafungwe wasishiriki uchaguzi liko wazi kila mtu anajua
 
Nongwa!
Chadema mlitakiwa muwe na plan B mlipoamua kujitoa
Serikali imeruka kihunzi,zile sababu zenu za kujitoa hazipo tena,mnajikuta mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Kama mmeamua kujitoa ni busara kuachana na habari ya uchaguzi,lakini kila siku thread mara viongozi wanapanga njama kupinga maamuzi ya kamati kuu,nawe leo umekuja na ugunduzi wako mpya
 
Umelewa Congo ya Lumumba wewe
 
ni kazi gani unafikiri wanaweza kufanyia taarifa yako ya kitoto hivi?
 
Hizi ni dalili za chama kufikia mwisho
 

Du unajua mengi. Utakuwa mchawi. Embu tuambie Nani alitangaza kifo cha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…