Wapinzani futeni matumaini ya kuachiwa majimbo 2025

Wapinzani futeni matumaini ya kuachiwa majimbo 2025

Nimesoma sehemu mbalimbali kwamba inasemekana mojawapo ya sehemu ya maridhiano ni wapinzani kuachiwa majimbo kadhaa ya uchaguzi.

Baada ya kutafakari sana kisha ku-connect dots na haya matusi ya viongozi waandamizi wa upinzani dhidi ya bodaboda na makundi mengine ya kimkakati nikahisi inaweza kuwa kweli.

Naona kama vile wapinzani wamejiwekea hayo matumaini ndo maana wanaishia kutukana wapiga kura kwamba kazi zao ni za laana.

Linapokuja suala la uchaguzi ni kwamba CCM huwa haina mzaha kabisa... alishawahi lalamika Zitto Kabwe kwamba kwenye uchaguzi mdogo tu huko jimboni Kigoma, CCM ilipeleka viongozi wake wa kitaifa akiwemo makamu wa Rais kupiga kampeni.

CCM kamwe hawawezi kuachia chama chochote jimbo. Kitu pekee cha kutia moyo ni kwamba 2025 uchaguzi utakuwa huru na wa haki hivyo wapinzani wajipange badala ya kudhani watapewa majimbo kama zawadi.

Sanduku la kura ndo litaamua. CCM haina mjadala wala utani kwenye uchaguzi wa ngazi yoyote ile.
Umewahi mno kufikiri uchaguzi....
Mwezi mmoja unaweza kubadili historia..
 
Hivi kwa akili ya kawaida, ulishawahi kusikia chadema wameiba kura?
Mjitahid kuwa mnasoma mnaelewa, hivi CHADEMA mnashida gani? Wapi ameandika
CHADEMA wanaibaga kura? Kasema maridhiano sio ya kupeana majimbo, na kaongeza muache kutukana Watanzania wenzenu kisa mshajengewa majumba huko ughaibuni.
 
Kwani wapinzani wanachotaka ni kuachiwa majimbo au tume huru ya uchaguzi? Kuna mpinzani anayetaka CCM akishinda kwa kura halali atangazwe mpinzani tu??
 
Kupewa majimbo ndio utumbo gani? Unapewaje jimbo kwa mfano??
Mjitahid kuwa mnasoma mnaelewa, hivi CHADEMA mnashida gani? Wapi ameandika
CHADEMA wanaibaga kura? Kasema maridhiano sio ya kupeana majimbo, na kaongeza muache kutukana Watanzania wenzenu kisa mshajengewa majumba huko ughaibuni.
 
watanzanja wa leo wakuwekea saut labda kama huko lumumba huwa mnafanyiwa hivyo sawa maana tunawajua wengi wenu ni wajinga.
Duh, hapo ukute mwenyewe unajisifu umetoa bonge la point🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Mjinga ni baba yako alieacha kuvaa kondom kupelekea kuzaliwa fuko la mavi kama wewe lisilojielewa.

Angevaa mpira au kupiga nyeto tusingekuwa na upumbavu kama huu wako hapa duniani.
 
Back
Top Bottom