Uchaguzi 2020 Wapinzani hawako tayari kuongoza nchi

Yani kununua ndege ndo matumaini?kujenga uwanja wa mpira ndo matumaini?
Pathetic
Ununuzi wa Ndege kuna 10% za mtukufu na ufisadi wa kutisha ndiyo maana CAG alipothubutu kugusa huko wakaamua kumtoa kafara kukwepa Aibu
 
Dr Magufuli hakuwa na zero experience, yeye alikuwa n waziri mwandamizi. Kumbuka amekuwa naibu na waziri kamili kwa kipindi cha miaka 20
Kama ana uzoefu mbona hajiamini mpaka kutumia udikiteta kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?
 
Ninacho mkubali ZITTO ni uwezo wa kuonyesha mawazo mbadala na huo ndio upinzani.
Wote tunajua wapinzani nao ni watumishi wa umma wanaishi kupitia ruzuku ambayo ni kodi za wananchi.
 
Changamoto za hapa na pale.
 
Utatetea ccm kwasababu ya uvivu wako na akili changa ya mambo ukikua utabadilika.
Nafikiri itapendeza ukianza kubadilika wewe. Kwa maana kuonesha kukubali mazuri ambayo serikali ya Tanzania imeyafanya ndio mwanzo wa kujifunza kuwa Mzalendo, sio kupinga tu na kuwadharau wanaosifu juhudi za serikali.
 
Yani kununua ndege ndo matumaini?kujenga uwanja wa mpira ndo matumaini?
Pathetic
Ili watu waweze kuendelea ni lazima wawekewe mazingira ya wao kuweza kujiletea maendeleo yao ya kiuchumi pamoja na Maendeleo ya Taifa lao.

Maendeleo yanaenda pamoja na miundombinu bora ya usafirishaji pamoja na miundombinu bora ya michezo. Tunafahamu sio kila mfanyabiashara anaweza akaona umuhimu wa uwepo wa Ndege, lakini ni kweli wapo wafanyabiashara ambao kwa uwepo wa Ndege tu itazinufaisha biashara zao. Na sio kweli kwamba watanzania wote ni wanamichezo, lakini kuwepo kwa kiwanja cha mpira kikubwa na bora, ni Jambo zuri katika kuhamasisha michezo na kuweka mazingira mazuri ili wanamichezo waweze pia kujiingizia mapato yao kiuchumi pamoja na ya Taifa lao.

Tunafahamu kuwa hata wewe unanunua pafyumu kwa ajili ya kuupamba mwili wako kwa kuupa manukato mazuri na yenye kuuvutia mwili wako, lakini sio kila sehemu ya mwili inapata nafasi ya kupuliziwa pafyumu hiyo. Kwa nafasi hizo chache za mwili wako, ndizo zinaupa heshima sehemu zingine za mwili wako ambazo hazijafikiwa na manukato. Kwani watu wanasema unanukia vizuri!
 
TBC walikuwa wanatejeoeza majukukumu yao nyie mkawafukuza. Halafu wasipoonekana manalalamika.

Wagombea wenu wanashindwa kujaza fomu, hamko makini na ndio maana CCM wanapita bill kupingwa.

Pale Bumbuli mgombea wenu hakuweka picha kwenye fomu, Ukosefu wa umakini
 
Ninacho mkubali ZITTO ni uwezo wa kuonyesha mawazo mbadala na huo ndio upinzani.
Wote tunajua wapinzani nao ni watumishi wa umma wanaishi kupitia ruzuku ambayo ni kodi za wananchi.
Tatizo lake ni undumilakuwili
 
Kabisa. Uzalendo wa Lissu usipouona wewe ni buku 7. Waulize buku 7 wenzio watakwambia. Hivi wana hofu sana kuwa watakula wapi sasa kwa upepo huu?

Bila angalau ya buku 7 kwa hakika hayupo wa kuandika huu utopolo mnaoandika. Kwa hamasa ipi?
Utasubiri Sana. Mgombea wako sidhani Kama atapata asilimia 25 katika uchaguzi huu. Itakuwa ngumu sana
 
Ila ccm akili huwa zinaruka mara nyingine, et lijitu linakwambia tumeibiwa sana wakati nyinyi wenyewe ccm ndiwo mlikuwa mnasaini mikataba na mibovu na wakoloni haohao, misaada hampati toka kwa hao wakoloni basi mnawaita mabeberu.
Kama ni kweli tuliibiwa ulitaka asemeje?

WanaCCM ni binadamu Kama walivyo binadamu wengine, hivyo kufanya makosa ni jambo la kawaida. Mwenyekiti wetu Sasa hataki mchezo na anarekebisha.

Hivi Kama ukimkuta sheikh anakula kitimoto, utamlaumu yeye au utaulaumu uislamu?
 
Asiejua maana haambiwi maana
 
Huyu jamaa aliekata pumzi ndiye yupo tayari kuongoza nchi?!
 
Kw Kwenda kulee, kwa uonevu mnaoufanya unataka msilalamikiwe.
Mipango ya maendeleo ipo katika ilani tayari wewe "mzembe mmoja"...
Miongoni mwa vitu vinatuhusu vijana ni mkopo wa elimu ya juu kukatwa kinyume na mkataba wa awali yani 3%, ukosefu wa ajira n.k
Waambie wajiandae kuiba tu ndio suluhu yao, na round hii kila patakapoibiwa tambua kutakuwa na rangi ya simba sports club. #sasabasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…