Na
Halafu kwa bahati mbaya kwao,wamejiandaa kuiba maana wameshatambua kuwa kura halali hawatoboi,hawawezi kushawishi Wananchi wawachague bila mizengwe.Wamezoea vya kunyonga...Wewe ni CCM kweli? Jukumu la kwanza kabisa la chama/vyama vya upinzani ni kuhakikisha Chama kilichopo madarakani kinaondoka kupitia sanduku la kura.
Sasa unataka hoja gani tena! Mwaka huu Mabeberu yanawaangalia kwa ukaribu. Mkileta tu zike sarakasi zenu za kuiba kira na kuwaengua wagombea wa upinzani kwa hila, yatawakuta kama yale ya Gaddafi!
Ole wenu!👉