Wapinzani hawana hoja, na kama wanayo hoja yao ni ipi?

Na Halafu kwa bahati mbaya kwao,wamejiandaa kuiba maana wameshatambua kuwa kura halali hawatoboi,hawawezi kushawishi Wananchi wawachague bila mizengwe.Wamezoea vya kunyonga...
 
MABADILIKO
 
Lb7fc mbna mnaweweseka.
 
Sielewi unahamasisha wapinzani waanze mapambano na Polisi wanapozuia mikutano yao au kuwakamata viongozi wao?
Battle Field unayoongelea ni wapi huko?Je,siasa za Tanzania zimefikia kipindi tukitaka Katiba Mpya au Tume Huru ya uchaguzi tuingia barabarani au msituni na kuanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe?
Mbona hamtaki ustaarabu wa kuwavumila wapinzani wenu?Jibuni hoja kwa hoja msipende kukimbilia mitutu.
 
Utaijuaje hoja ya wapinzani kama huwapi nafasi kuisema?
 
kwayo unataka hoja gan ya msingi zaidi ya uvumilivu walionao wapinzani, au unataka watumie nguvu nje ya demokrasia?...ndg usilete mzaha hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…