Wapinzani japokuwa wamechelewa, tuwapongeze CCM kuimarisha miundo mbinu ya reli, tril 14.7 sio haba .Wameonyesha uzalendo.

Wapinzani japokuwa wamechelewa, tuwapongeze CCM kuimarisha miundo mbinu ya reli, tril 14.7 sio haba .Wameonyesha uzalendo.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Screenshot_20211228-172425.png
 
Reli isiyoisha kila siku uzinduzi wa kuendeleza
 
Niko nchi ya watu hapa, naona treni za umeme zinapishana kutuo kimoja na hawana kelele kama hizi za SGR ya dar moro ambayo hata kuisha haishi !!
 
Back
Top Bottom