LGE2024 Wapinzani lindeni kura, uchaguzi ni ushindani hutapewa madaraka Kwa huruma

LGE2024 Wapinzani lindeni kura, uchaguzi ni ushindani hutapewa madaraka Kwa huruma

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Nina uhakika wapinza hawatashinda hata mitaa 10 nchi nzima

1. Vituoni hamna mawakala wa vyama vya upinzani, Kuna mawakala wa Chama kimoja CCM pekee
Hapa tutegemee hata wakishindwa watasema wameshindwa.
Tunaanguza kura Bure

2. Mawakala waliopo wamezubaa mno
Hawahakiki majina ya wapiga kura wanaofika kituoni.
Yaani ni rahisi kuingiza wapiga kura hewa

3. Mawakala hawawezi kudhibiti kuingiza kura hewa
Kura hewa zinaingia

4. Kuna tetesi mawakala wenu wanahongeka

5. Kwenye kuhuesabu wanazubaishwa
Wanaibiwa kura kama mazuzu

Masikini upinzani wa TANZANIA
Ukiwaona wanalalamika na kuandamana kama wako serious kumbe siyo

Toka mchakato wa uchaguzi utangazwe na hadi uchaguzi kufanyika, mnaibiwa kura kama mazuzu
Tunawapa Imani mnatulipa uzembe
Uchaguzi ni ushindani hutapewa madaraka Kwa huruma

Nimeamini wapinzani wa TANZANIA ndo adui wa democrasia yetu
 
Back
Top Bottom