Leo naomba niseme, ni ndoto ya vijana wengi kuona mabadiliko kwenye serikali kuu.
Sura za familia ya Kikwete, Makamba, Nauye, Mwinyi na viongozi wengine wa kurithishwa tumechoka. Vijana tunatakamani viongozi wenye uthubutu, wenye kusema ukweli kama Lissu, wenye maamuzi na wenye kuleta mabadiliko.
Chadema na WAPINZANI wanapaswa kusimama imara na waende kwenye uchaguzi October vifua mbele, wawe na hoja za kuwaambia watanzania ukweli.
Serikali ya sasa hawajawajibika Kwa mauaji ya wananchi na kupotea kwao, na hata maafa kama ya Rufiji.
Serikali hii inadanganya kwenye suala la deni la TAIFA na inajichukulia inathibiti na Ina Kiburi.
Serikali ya sasa Ina itikadi Kali kiasi kwamba hauwezi wakosoa
Binge limechuja, wasema ukweli wanatimiliwa.
Kuna mengi sana, Chadema mobilize vijana wapambanie Nchi Yao, peke yeni hamuwezi
Kama tutashindwa kutumia nafasi mwaka huu basi inaweza kuchukua miaka 100 kufika katika kilele kama sasa 2015 tulichezea nafasi kwakumchukua fisadi sasa miaka 10 mbele Mungu ametupa nafasi ya pili chini ya Simba TAL kwa uwezo wake anaweza kuongoza hata kondoo naakakupa matokeo wiki moja kanda ya Nyasa milio kila kona 😂😂😂Leo naomba niseme, ni ndoto ya vijana wengi kuona mabadiliko kwenye serikali kuu.
Sura za familia ya Kikwete, Makamba, Nauye, Mwinyi na viongozi wengine wa kurithishwa tumechoka. Vijana tunatakamani viongozi wenye uthubutu, wenye kusema ukweli kama Lissu, wenye maamuzi na wenye kuleta mabadiliko.
Chadema na WAPINZANI wanapaswa kusimama imara na waende kwenye uchaguzi October vifua mbele, wawe na hoja za kuwaambia watanzania ukweli.
Serikali ya sasa hawajawajibika Kwa mauaji ya wananchi na kupotea kwao, na hata maafa kama ya Rufiji.
Serikali hii inadanganya kwenye suala la deni la TAIFA na inajichukulia inathibiti na Ina Kiburi.
Serikali ya sasa Ina itikadi Kali kiasi kwamba hauwezi wakosoa
Binge limechuja, wasema ukweli wanatimiliwa.
Kuna mengi sana, Chadema mobilize vijana wapambanie Nchi Yao, peke yeni hamuwezi
Huwezi kumchagua na genge lake la mafisadi ya mali za ummaUkiwa siyo mtu mnafiki, au ukiwa mkweli kabisa kabisa katika nafsi ya moyo wako, utakubaliana na Ukweli mchungu Sana kwamba huyu Mama Kamwe hawezi kupata Kura hata za Asilimia Kumi tu kwenye Uchaguzi Mkuu ujao endapo kama kutakuwa na Tume ya Uchaguzi iliyo HURU kama ile iliyopo kule nchini Afrika Kusini.
Nakubaliana na wewe mkuuKama tutashindwa kutumia nafasi mwaka huu basi inaweza kuchukua miaka 100 kufika katika kilele kama sasa 2015 tulichezea nafasi kwakumchukua fisadi sasa miaka 10 mbele Mungu ametupa nafasi ya pili chini ya Simba TAL kwa uwezo wake anaweza kuongoza hata kondoo naakakupa matokeo wiki moja kanda ya Nyasa milio kila kona 😂😂😂
Tatizo vyama ni vingi lakini vya upinzani havizidi vinne!Leo naomba niseme, ni ndoto ya vijana wengi kuona mabadiliko kwenye serikali kuu.
Sura za familia ya Kikwete, Makamba, Nauye, Mwinyi na viongozi wengine wa kurithishwa tumechoka. Vijana tunatakamani viongozi wenye uthubutu, wenye kusema ukweli kama Lissu, wenye maamuzi na wenye kuleta mabadiliko.
Chadema na WAPINZANI wanapaswa kusimama imara na waende kwenye uchaguzi October vifua mbele, wawe na hoja za kuwaambia watanzania ukweli.
Serikali ya sasa hawajawajibika Kwa mauaji ya wananchi na kupotea kwao, na hata maafa kama ya Rufiji.
Serikali hii inadanganya kwenye suala la deni la TAIFA na inajichukulia inathibiti na Ina Kiburi.
Serikali ya sasa Ina itikadi Kali kiasi kwamba hauwezi wakosoa
Binge limechuja, wasema ukweli wanatimiliwa.
Kuna mengi sana, Chadema mobilize vijana wapambanie Nchi Yao, peke yeni hamuwezi
Alafu maskini ndio machawa wa "Unaupiga mwingi" na miitano Tena, hawajui wanajichimbia kaburiVyeo vinapatikana kwa koo, ufisadi na rushwa na siyo uwezo wa mtu, wengine wote ni wasindikizaji, ilitakiwa vyeo vyote ukitoa cha Rais, Makamu na PM wengine wote waombe na kufanyiwa public interview Tanganyika ingekuwa kama Urusi kwa maendeleo
Naam,hiyo ndo jeuri yao hakika, mabadiliko ya tume ni mhimu sana tu.Ukiwa siyo mtu mnafiki, au ukiwa mkweli kabisa kabisa katika nafsi ya moyo wako, utakubaliana na Ukweli mchungu Sana kwamba huyu Mama Kamwe hawezi kupata Kura hata za Asilimia Kumi tu kwenye Uchaguzi Mkuu ujao endapo kama kutakuwa na Tume ya Uchaguzi iliyo HURU kama ile iliyopo kule nchini Afrika Kusini.
Chini ya Tume ya Uchaguzi iliyo HURU kabisa kiutendaji:-
Kutakuwa na Demokrasia katika Uchaguzi,
Kura Zitapigwa Hadharani kila Mtu akiwa anaona kwa Macho yake yeye mwenyewe, Waandishi wa Habari wanaweza wakarekodi na kurusha mubashara kabisa mchakato wote kabisa wa Uchaguzi pamoja na zoezi zima la Upigaji kura na Uhesabiaji wake,
Wananchi wataweza Kuruhusiwa kuweza kuwepo katika Vituo vya Kupigia Kura ili waweze Kushuhudia kwa macho yao wenyewe jinsi zoezi la upigaji kura linavyoendelea na uhesabiaji wa Kura.
Endapo kama Mazingira ya Kidemokrasia ya namna hii yatakuwepo Kama vile inavyofanyika katika Chaguzi za kisiasa kule Afrika Kusini, basi naamini kwa dhati kabisa kwamba huyu Mama pamoja na Chama chake Kamwe hawataweza kushinda Uchaguzi na wala hawataweza kupata hata Asilimia Kumi tu za Kura kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Mtoto wa nyoka ni nyoka, ulitaka mtoto wa mwanasiasa afanye nini? We pambana hao uliowataja huwa wanagombea na kushinda. Pambana vinginevyo utabaki kulialia mpk unakufa hakuna wa kukuletea uongozi mezani kwako.Leo naomba niseme, ni ndoto ya vijana wengi kuona mabadiliko kwenye serikali kuu.
Sura za familia ya Kikwete, Makamba, Nauye, Mwinyi na viongozi wengine wa kurithishwa tumechoka. Vijana tunatakamani viongozi wenye uthubutu, wenye kusema ukweli kama Lissu, wenye maamuzi na wenye kuleta mabadiliko.
Chadema na WAPINZANI wanapaswa kusimama imara na waende kwenye uchaguzi October vifua mbele, wawe na hoja za kuwaambia watanzania ukweli.
Serikali ya sasa hawajawajibika Kwa mauaji ya wananchi na kupotea kwao, na hata maafa kama ya Rufiji.
Serikali hii inadanganya kwenye suala la deni la TAIFA na inajichukulia inathibiti na Ina Kiburi.
Serikali ya sasa Ina itikadi Kali kiasi kwamba hauwezi wakosoa
Binge limechuja, wasema ukweli wanatimiliwa.
Kuna mengi sana, Chadema mobilize vijana wapambanie Nchi Yao, peke yeni hamuwezi
Ni hovyo sn na aibu kubwaAlafu maskini ndio machawa wa "Unaupiga mwingi" na miitano Tena, hawajui wanajichimbia kaburi
Nguvu ya wananchi inaweza waondoa madarakani. Haki ikiwepo, amani itatawala TanzaniaMtoto wa nyoka ni nyoka, ulitaka mtoto wa mwanasiasa afanye nini? We pambana hao uliowataja huwa wanagombea na kushinda. Pambana vinginevyo utabaki kulialia mpk unakufa hakuna wa kukuletea uongozi mezani kwako.