Toa hizi stress zako hapa!
Wanaoshangilia huo mradi humu si nyie michadema mkifikiri kuna mtu mnamkomoa?
Nyumbu bhana..kwanini mataga msiandamane kupinga mradi wa bagamoyo?
..kila jambo baya mnasubiri lipingwe na vyama vya upinzani?
..naona ktk hili mnakimbia wajibu wenu.
unaongea kuhusu bunge gani? bunge 100% ni ccm , wengi wao hata la 7 hawakumalizaKuweka wazi mkataba siyo jambo rahisi kwa sababu za kibiashara muhimu kamati ya bunge ya miundo mbinu inaweza kuupitia kwa niaba yetu na pengine washirikishe jopo la wanasheria maarufu wakiwemo viongozi wa dini waangalie maslahi ya nchi.
huu mradi wa bagamoyo ni wizi mtupu, sidhani kaa mama samia anauelewa sawa, hii mradi ni hatari kwa taifa letu, ukome mara moja, uangaliwe umpya, mkataba uandikwe upya na uwekwe wazi kabla ya kutiwa signLowasa alikuwa waziri mkuu na akasema katika kipindi cha kampeni kupitia UKAWA ya wakati huo kabla haijaharibiwa na akina amstwrdm kwamba akiwa rais huo mradi agavunja mkataba wake maana hauna maslahi kwa nchi.
Magufuli akiwa rais akisema amesitisha huo mradi kwa sababu kuna vipengele ni mzigo kwa taifa na akavitaja.
Wote hao ni viongozi wa kitaifa na walipinga huo mradi!
Wewe mbugilambugila una kipi cha kusaport huo mradi zaidi ya chuki zako za kijinga ukifikiri unamkomoa Magufuli?
Hao wanasubiri "kupozwa" wafunge midomo, midomo yao ni strategy...kwanini mataga msiandamane kupinga mradi wa bagamoyo?
..kila jambo baya mnasubiri lipingwe na vyama vya upinzani?
..naona ktk hili mnakimbia wajibu wenu.
Sisi tunaiga nchi zilizotutangulia, hakuna nchi inayofanya hivyo hapa duniani/Afrika?Kuweka wazi mkataba siyo jambo rahisi kwa sababu za kibiashara muhimu kamati ya bunge ya miundo mbinu inaweza kuupitia kwa niaba yetu na pengine washirikishe jopo la wanasheria maarufu wakiwemo viongozi wa dini waangalie maslahi ya nchi.
Hebu nenda KWA nyumbu wenzio kina yericko,malisa,na wale wanaharakati waliomaliza period zao wakiwa ccm kisha urudi kusoma kilichoandikwaUlichokiandika hapa ni tofauti kabisa na mada inayojadiliwa.
Jiwe ni muongo na lagahi kama shetani, usimuamini kwa loloteWakati magufuli anaukataa hadharani alianisha japo kwa mdomo,mapungufu yaliyopo mule.
Sijui ni nani alitafuta mwekezaji yule,na kwa lengo gani!
Trillion 21 tsh ni pesa nyingi sana mtu kuwekeza halafu asiweke mazingira ya hiyo pesa kurudi.
Magufuli ali sound logically zaidi.
Bado ukweli wa uwekezaji huo una maswali mengi sana.
We nae hujulikani unataka nini, pole Sanaa mkuuNaomba nitoe wito kwa wanasiasa upinzani pamoja na wanaharakati, waombe kibali cha kufanya maandamano ya amani kushinikiza uwazi wa mikataba ukiwemo mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.
Mradi huu ni mkubwa sana na kwa maana hiyo, unaweza kuleta matokeo makubwa kwa nchi yetu ambayo yanawe kuwa ni chanya( positive) au hasi(negative) kwa nchi yetu9 hivyo hatupawi kukaa kimya.
Mradi huu ukiwa na matokeo chanya, utafaidisha mpaka vitukuu wetu, na ukiwa na matokeo hasi, basi utaathiri mpaka vitukuu wetu pia kwahiyo ni lazima sisi wananchi tushirikishwe.
Tungekuwa na Bunge imara, tungeshirikishwa kupitia wawakilisha wetu (wabunge) , ila kwakuwa hatuna Bunge la aina hiyo(kwa mtazamo wangu), basi mkataba uwekwe wazi kwa umma na wananchi tutoe maoni yetu kama mradi huo uanze au vinginevyo.
Kamwe tusiwaachie wanasiasa waaamue peke yao jambo kubwa na nyeti kama hili hasa ukizingatia wanasiasa wetu wmekosa msimamo katika mambo nyeti kama haya. Zaidi wao huangalia watawala wameegemea upande gani na wao huunga mkono mawazo yao.
Kujadili huu mradi pasipo kujua nini hasa kimo katika huo mkataba huku wengine wakiupinga na wengine wakiutetea,ni uwendawazimu na ujinga mtupu na zaidi ni kupotezeana muda.
Bila shinikizo, tutajadili wee halafu tutachojadili hakitabadilisha kitu chochote, na mwisho wa siku, wataingia makubaliano wanayoyajua wao huku sisi tukibaki kuomba Mungu mkataba uwe fair kwa pande zote( kelele zote hizi zitakuwa ni sawa na kelele za chura ambazo hazimzui Tembo Kunywa maji).
Hivyo, natoa wito wa kufanyika maandamano ya amani kutaka uwazi juu ya mkataba huu vinginevyo tukubali matokeo hapo baadae.
Kumbukeni ya gesi ya Mtwara na maneno mazuri ya watawala wakati ule- Tanzania ya uchumi wa gesi.
inabidi useme nani ni wa kumwamini.Jiwe ni muongo na lagahi kama shetani, usimuamini kwa lolote
Uko sahihi, sijajua wa kumwamini lakini Jiwe hata wa utani hafai. Bora katupishainabidi useme nani ni wa kumwamini.
deni kubwa sana unalijua wewe,subiri utalisoma 2025.Jiwe si mtu wa kuamini maneno yake,alisema tunajenga nchi kwa pesa zetu za ndani wakati ameacha deni kubwa sana
siku moja utamuelewa.Uko sahihi, sijajua wa kumwamini lakini Jiwe hata wa utani hafai. Bora katupisha
Salary slip huyu mama anawapa chadema rushwa ndogo ndogo ,ili mkae kimya.Mara Mbowe arudishiwe pesa zake.Mara Lissu alipwe pesa zake.Kumbe anataka kutengeneza mikataba ya kifisadi kama JK.Niwaulize.Tanzania inaongoza kwa uzalishaji wa gesi.Je,mtwara na Lindi wanafaidika chochote.?Kwa sababu ya JK .We endelea kutetea CCM iliyotufikisha hapa.