Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tusimuachie Kigogo kila kitu kwani kuna siku anaweza asiwepo au nae akaamua kukaa kimya.Vyama vya siasa vitoe mwongozo
Ni kudai kwa nguvu zote
Watu wawajibishwe
Report ya CAG
Report ya BOT ziwekwe hadharani
WaTz wepesi kusahau Wagumu Kuelewa
Kuna mambo ya ovyo yana trend mitandaoni kuliko mambo ya muhimu
Chadema msijidanganye saaaana kwenye kukutana na mkulu
Mnalo jukumu la kutoa muongozo
Ni kweli mkuu ... safi sana kulishupalia hiliNafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Ssmia alivyokuwa ameagiza.
CHADEMA,ahadi ya kukaribishwa Ikulu isiwatoe kwenye reli wala kuwaziba midomo nyinyi kama wapinzani.
ACT,na nyinyi kuwa sehemu ya serikali huko Zanzibar pia kusiwazibe midomo.
Kama report bado(ingawa sitaki kuamini) basi tuambiwe.
Naona mnaanza kuchomiza pembe zenu sasaNafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Ssmia alivyokuwa ameagiza.
CHADEMA,ahadi ya kukaribishwa Ikulu isiwatoe kwenye reli wala kuwaziba midomo nyinyi kama wapinzani.
ACT,na nyinyi kuwa sehemu ya serikali huko Zanzibar pia kusiwazibe midomo.
Kama report bado(ingawa sitaki kuamini) basi tuambiwe.
Mnataka kulindana?Naona mnaanza kuchomiza pembe zenu sasa
CCM ni Kikundi cha MajiziHivi CCM wao wanataka ripoti isitoke hadharani?
Nafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Ssmia alivyokuwa ameagiza.
CHADEMA,ahadi ya kukaribishwa Ikulu isiwatoe kwenye reli wala kuwaziba midomo nyinyi kama wapinzani.
ACT, na nyinyi kuwa sehemu ya serikali huko Zanzibar pia kusiwazibe midomo.
Kama report bado(ingawa sitaki kuamini) basi tuambiwe.
Kajifunze kwanza kuandika ndio uje humu.Kilizi wa taifa,hivi hiyo ripoti kaiagiza "lahisi Tundu Rissu"