Wapinzani ombeni msamaha kwa Watanzania, mtasamehewa

Hii kauli mara nyingi huwa inanichekesha. Hebu jaribuni kubadili majibu yenu basi
i). Je, kadri demokrasia ya vyama vingi inavyozidi kuenea mataifa mbalimbali ni nani anayenufaika?
ii). Je, kwakumjua mnufaika huoni unaikanyaga ardhi yako kupigania maslahi ya taifa la wenzio?
iii). Je, kwakuujua werevu utajilazimisha kuendelea kuufanya ujinga?
Babu zako walichukuliwa kama watumwa wakawalimisha mashamba yao huko magharibi sasa wamekurudia mjukuu na wewe wanakutumikisha ili uwafikishe sehemu fulani.


MAGUFULI4LIFE.
 
Yaani nimecheka kwa nguvu huu unafiki ulioandika hapa mpaka watu wameniuliza kulikoni. Kwakuwa kuna hivyo vyama mamluki mnavitumia, agizeni viseme huo utoto unaopendekeza hapa. Wapinzani wa kweli, na watanzania waelewe wameona kilichotokea kwenye ule ushenzi uitwao uchaguzi. Hii ndio sababu hasa 2/3 ya watanzania hawajajitokeza kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi, na hata hiyo 1/3 bado hamkupata kura zao zote. Miaka ya kutawala watu kwa kuwaburuza imeisha. Watu wanafiki na waoga wa maisha kama kina Nape, Kinana nk ndio wana muda wa kusujudia sanamu.
 
Naunga mkono hoja,
Tafuta, utapata!
Bisha hodi, utafunguliwa!
Omba, utapewa!.
Ukishikwa, shikamana,
Ukiaminiwa, jiaminishe!
Wapinzani mliaminiwa na Watanzania,
Mkapoteza uaminifu!,
Omba msamaha, utasamehewa!.
P
 
Naunga mkono hoja,
Tafuta, utapata!
Bisha hodi, utafunguliwa!
Omba, utapewa!.
Ukishikwa, shikamana,
Ukiaminiwa, jiaminishe!
Wapinzani mliaminiwa na Watanzania,
Mkapoteza uaminifu!,
Omba msamaha, utasamehewa!.
P
Daaaah ni wewe huyu kaka mkubwa?
 
Naunga mkono hoja,
Tafuta, utapata!
Bisha hodi, utafunguliwa!
Omba, utapewa!.
Ukishikwa, shikamana,
Ukiaminiwa, jiaminishe!
Wapinzani mliaminiwa na Watanzania,
Mkapoteza uaminifu!,
Omba msamaha, utasamehewa!.
P

Watanzania wapi boss, hizo propaganda za ulaya mashariki ya zamani mtawalisha wazee na wasiojua ukweli , lakini 2/3 ya watanzania wamepuuza hizo propaganda mfu. Tumeona kwa macho yetu kile kilichofanyika juzi kwenye uchaguzi wetu, ni mwendawazimu na mtu aliyepoteza uwezo wa kupambana bila mbeleko kama ww, ndio anaweza kuamini kile kilichofanyika juzi ni uchaguzi. Ule haukuwa uchaguzi, bali ilikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye uchaguzi.
 
You are brainwshed ndugu, pole sana. Wapinzani wenu ni wajinga na wapumbavu sana. Wanatumika na wazungu then ninyi mnashangilia. Subirini sasa muone maana si mnawatia viburi wasiombe msamaha, mpaka 2025 watapotea wote kwenye siasa, maana sasa watanzania wamekataa maandamano, kinachofuata ni kukataa kila wazo lao, ila wakiomba msamaha inaweza saidia kurejesha imani japo kidogo.
 
 

Attachments

  • VID-20201103-WA0000.mp4
    919.5 KB
Mkuu mbona unaonekana una akili mgando? Lissu na genge lake waliandaa kura fake, wakazikamata wao. Na matukio ya yalipangwa mengi. Mojawapo ni Lissu kusema ndege kacheleweshwa mara kivuko kimegoma mara muda wa kuhutubia anapitiliza, so lazima utumie akili kidogo kuelewa Lissu na genge lake walipanga vitu hivyo vyote mkuu, na ndiyo maana watanzania wakagundua walio wengi. So acha kujidanganya mkuu.
 
hahaha wamefanya nini uchaguzi, daah
 
nafikiri ukiingia tu huko lazima akili ifanyiwe kitu ndio maana wote kufikiri kwao kunafanana hahahaha
 
Hawa usikute hawakujiandikisha au walipiga kura zikaharibika.
 

Hayo niliyozungumza nimeyaona na yameonekana na watu wengi tu, kama hayo unayosema ni matukio yaliyopangwa na Lisu/cdm, je wao pia ndio walioengua madiwani na wabunge ili kuharibu uchaguzi? Je ule uchaguzi ushenzi wa SM za mitaa wao pia ndio waliuvuruga? Hivi mnadhani wananchi bado ni wajinga hivyo? Ndio maana 2/3 ya wananchi wameishia kupuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…