Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,612
- 16,189
Ndiyo tatizo lenu wapinzani yaani mmekaa mkidhani eti nyie wapinzani ndiyo wenye akili sana kuzidi wanafikiri ukiingia tu huko lazima akili ifanyiwe kitu ndio maana wote kufikiri kwao kunafanana hahahaha
Mkuu nafurahi umeelewa. Kuhusu SM/kuengua wagonbea/mawakala ni kuwa wapinzani walitumia muda wao mwingi kuikandia/tukana serikali badala ya kujenga hoja na kuwaandaa wapiga kura wao na kujiandaa kwa ujumla na chaguzi. Wa kulaumiwa na hao wenyeviti wa vyama, hawana ajenda. Mfano kama una akili timamu unaweza kumlaumu Rais/serikali kwa kuzuia lockdown?Hayo niliyozungumza nimeyaona na yameonekana na watu wengi tu, kama hayo unayosema ni matukio yaliyopangwa na Lisu/cdm, je wao pia ndio walioengua madiwani na wabunge ili kuharibu uchaguzi? Je ule uchaguzi ushenzi wa SM za mitaa wao pia ndio waliuvuruga? Hivi mnadhani wananchi bado ni wajinga hivyo? Ndio maana 2/3 ya wananchi wameishia kupuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Unaweza kumlaumu Rais kwa kujenga hospitali?
Unaweza mlaumu Rais kwa kufufua reli?
Sasa walichokosea kabisa ni kushindwa kujiandaa, kuchonganisha serikali na wananchi, kushindwa kutanguliza maslahi ya nchi badala yake wakawa wanamsikiliza Lissu alivyokuwa anaambiwa na wazungu. Huu upinzani kufeli ni haki yao, na wapotee kabisa ili nchi isonge mbele