Ndiyo tatizo lenu wapinzani yaani mmekaa mkidhani eti nyie wapinzani ndiyo wenye akili sana kuzidi wanafikiri ukiingia tu huko lazima akili ifanyiwe kitu ndio maana wote kufikiri kwao kunafanana hahahaha
Mkuu nafurahi umeelewa. Kuhusu SM/kuengua wagonbea/mawakala ni kuwa wapinzani walitumia muda wao mwingi kuikandia/tukana serikali badala ya kujenga hoja na kuwaandaa wapiga kura wao na kujiandaa kwa ujumla na chaguzi. Wa kulaumiwa na hao wenyeviti wa vyama, hawana ajenda. Mfano kama una akili timamu unaweza kumlaumu Rais/serikali kwa kuzuia lockdown?Hayo niliyozungumza nimeyaona na yameonekana na watu wengi tu, kama hayo unayosema ni matukio yaliyopangwa na Lisu/cdm, je wao pia ndio walioengua madiwani na wabunge ili kuharibu uchaguzi? Je ule uchaguzi ushenzi wa SM za mitaa wao pia ndio waliuvuruga? Hivi mnadhani wananchi bado ni wajinga hivyo? Ndio maana 2/3 ya wananchi wameishia kupuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
CHADEMA na ACT wanafikiria demokrasia ni wao kuwa bungeni au kushika dola hata pale ambapo hawajashinda au pale ambapo hawastahiliWatu wanafikiri definition ya demokrasia ni mpaka CHADEMA wachaguliwe
84% kura halali za Dkt Magufuli mkuuKuna nini mkuu?
Wewe ndiyo unahangaika zaidi sana.CCM mbona mnahangaika?
Hahaha hizo kura fake waliziandaa hao hao akina halima mdee, wakazikamata wao na kuzichoma moto wao, yaani mlijipanga kishetani ila mmekutana na mkono wa Mungu mmeumbuka sana. Huo ujinga wenu wa kutengeneza kura fake utawagharimu sanaDunia nzima imeshuhudia zile sandarusi za kura fake. Ni ngumu sana kulawiti uchaguzi bila ya kujulikana kwenye dunia hii ya utandawazi.Miaka yote tumekuwa tukishuhudia CCM wakiiba kura ila awamu hii badala ya kuiba kura wamelawiti uchaguzi.CCM wanapaswa kutubu kwa kukabidhi nchi kwa upinzani.
Kwa nini walichoma haraka haraka???Hizi ni porojo na propaganda dhaifu za maji taka!Kutengeneza kura fake ni kosa la jinai,kama walitengeneza kura fake kwa nini hawajakamatwa na kushtakiwa?
Tafuta mume uolewe mambo ya siasa waachie wengineNdiyo tatizo lenu wapinzani yaani mmekaa mkidhani eti nyie wapinzani ndiyo wenye akili sana kuzidi wa
Mkuu nafurahi umeelewa. Kuhusu SM/kuengua wagonbea/mawakala ni kuwa wapinzani walitumia muda wao mwingi kuikandia/tukana serikali badala ya kujenga hoja na kuwaandaa wapiga kura wao na kujiandaa kwa ujumla na chaguzi. Wa kulaumiwa na hao wenyeviti wa vyama, hawana ajenda. Mfano kama una akili timamu unaweza kumlaumu Rais/serikali kwa kuzuia lockdown?
Unaweza kumlaumu Rais kwa kujenga hospitali?
Unaweza mlaumu Rais kwa kufufua reli?
Sasa walichokosea kabisa ni kushindwa kujiandaa, kuchonganisha serikali na wananchi, kushindwa kutanguliza maslahi ya nchi badala yake wakawa wanamsikiliza Lissu alivyokuwa anaambiwa na wazungu. Huu upinzani kufeli ni haki yao, na wapotee kabisa ili nchi isonge mbele
Unaweza kuficha jina lako ubini wako na Jinsia yako lakini huwezi kuficha akili na huwezi wako wa kufikiri .Nianze kwa kuwapongeza Watanzania kwa uzalendo wao wa kuchagua maendeleo bila kujali itikadi za vyama vyao, hakika ushindi wa CCM ni uthibitisho wa mageuzi ya ki-fikra ya Mwafrika yenye kuachana na mawazo tegemezi ya kila aletacho mzungu ni bora kuliko tulicho nacho.
Binafsi nilikuwa nina uhakika kama ilivyo kwa wazalendo wengi kuwa CCM ilikuwa lazima ishinde kwa sababu ambazo hata wapinzani walizifahamu.
Badala ya kuitisha maandamano, fanyeni press conference muwaombe msamaha watanzania kwa upotoshaji wenu, pia na ushiriki wenu wa kuisaliti nchi kwa misingi ya kutaka kuuza rasilimali za nchi yetu.
Hakika hamjachelewa, mkiomba msamaha, watanzania watawasamehe