Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye bachelor, masters na PhD kwaajili ya kuchukua nchi 2025.
Tafuteni wachumi, wanasheria, wanasayansi, mainjinia, wahasibu, watu wasiasa, wanahistoria wenye bachelor, masters, PhD, waandikisheni, jazeni kwenye chama.
Fanyeni hivyo, nendeni vyuoni andikisheni vijana wasomi. Hao ndio watakua wakuu wa wilaya, wakurugenzi, mawaziri, n.k
Mkipata muda wa kuzungumza na wananchi waambieni wananchi serikali yenu itawaletea ajira, itawaondolea TOZO, itawaletea elimu bora, itawaletea huduma Bora za kijamii, itawaletea katiba mpya itakayoleta usawa nchini.
Mkipata muda yasemeni hayo, msilalamike kwamba mnanyimwa uhuru bali zungumzeni hizo hoja nilizozisema.
Hivi sasa wananchi wapo upande wenu hivyo jaribuni kutumia akili hiyo. Kwa ushauri zaidi njoo inbox.