Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye Bachelor, Masters na PhD kwa ajili ya kuchukua nchi 2025

Wapinzan Hawa Hawa wa Tanzania ambao wanasalitiana wazi wazi na kejeli juuu
 
Labda kama sio za kusomea hapa UDSM maana ni za hovyo hovyo angalia Magufuli, angaliaa Kitila,Kaabudi, Mwigulu na Wengine walivyo hovyo
 
Kazi ipo
 
Mbona walishafanya na mambo yakawa yanawaonyookea mfano kina myika, Zito, mdee, waitara, na wengine wengi
Ungeuliza kulitokea nini wasomi wakakimbiana!
Gia angani
 
Nadhani sisi hatujafahamu siasa zetu.
Wasomi wapo CCM sababu wanafuata mlo. Wanajuwa CCM ndio inayo endesha nchi na huko ndipo watakapo pata ulaji.
Katika vyama vya upinzani mapaka sasa hakuna ulaji.

Lakini pia kinacho changia zaidi nikuwa hakuna system, hakuna ukweli bali jazba katika upinzani.

Upinzani unatakiwa ujipange na uwe na system maalumu ya kuweza kuwafurahisha raia.
upinzani uwe unajuwa kukaa na raia kuongea lugha ya upole kushiriki pamoja na raia.
Raia wajihisi kuwa hichi ni chama chetu na tunaweza kutoa ushauri wakati wowote na ukasikilizwa.

CUF waliweza kufanikiwa kwa hilo.
Viongozi wa CUF walipohama kwenda ACT na raia walihama kwenda ACT. Viongozi wa ACT ni viongozi wa watu wanashiriki na watu na kujipendekeza .
ACT wanao wasomi khasa kada ya wanasharia na utawala.
 
Hunayo yasema ni kweli, kabisa ila kwa sasa Chadema inawatu wazuri wenye uelewa mkubwa compare to Ccm. Ndiyo maana hata sasa baadhi ya viongozi wengu wa chadema wapo demanded na ccm

Kwa sasa Chadema inapambana kushika Dola. Ili ipate uraisi wakuishuka chama upya, kwa maana hatakuwa na uraisi wa kuwachukuwa vijana wenye ujuzi,weledi kulijenga nchi.
Mfano mzuri ni kwamba kwa sasa chadema inauwezo wakuunda baraza lake la mawaziri bila kuchua watu nje ya chama chao tofauti na chama kingine cha siasa.


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Hilo zoezi Mbowe alishalifanyaga kuanzia mwaka 2000 ndio akawapata akina Zitto Kabwe, Juliana Shonza, Patrobas Katambi, David Silinde, Halima Mdee, Esther Matiko.....nk...nk!

Je, Chadema iko wapi leo hii?
Ipo. Huioni au?, Mbona ni imara sana. Japo imepigwapigwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…