Mbona hujaongelea la Lowassa kuondoka CCM mwaka 2015 na kesho yake akawa Mgombea Urais wa Chadema? Au kwa Chadema ilikuwa sawa eti?Kwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa akimpiga picha za usajili wa kadi ya uanachama live kabisa kqenye TV.
Nikajiuliza swali, inakuaje Mpina atoke CCM Leo kesho yake apewe ugombea urais wa chama? Kwamba ACT hakuna mtu mwenye sifa za kugombea urais zaidi ya Mpina?. Hilo lilinishangaza Sana. Yani ACT wakarudia kosa la 2020 la kumpa ugombea urais mgeni kutoka CCM.
Ushauri wangu ni kwamba vyama vya upinzani viachane na kasumba ya kubeba wagombea urais kutoka CCM ni aibu Sana. Tena mgombea urais anatoka CCM Leo kesho anapewa ugombea urais. Ni kujidharilisha na kujishuaha mbele ya CCM kwamba ndani ya vyama vya upinzani havina watu sahihi mpaka wakope watu kutoka CCM . Nadhani maneno ya Esther Bulaya mliyasikia kwa umakini.
Mpina kawaponza ACTKwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa akimpiga picha za usajili wa kadi ya uanachama live kabisa kqenye TV.
Nikajiuliza swali, inakuaje Mpina atoke CCM Leo kesho yake apewe ugombea urais wa chama? Kwamba ACT hakuna mtu mwenye sifa za kugombea urais zaidi ya Mpina?. Hilo lilinishangaza Sana. Yani ACT wakarudia kosa la 2020 la kumpa ugombea urais mgeni kutoka CCM.
Ushauri wangu ni kwamba vyama vya upinzani viachane na kasumba ya kubeba wagombea urais kutoka CCM ni aibu Sana. Tena mgombea urais anatoka CCM Leo kesho anapewa ugombea urais. Ni kujidharilisha na kujishuaha mbele ya CCM kwamba ndani ya vyama vya upinzani havina watu sahihi mpaka wakope watu kutoka CCM . Nadhani maneno ya Esther Bulaya mliyasikia kwa umakini.
Huu ujinga aliufanya Mbowe in 2015Kwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa akimpiga picha za usajili wa kadi ya uanachama live kabisa kqenye TV.
Nikajiuliza swali, inakuaje Mpina atoke CCM Leo kesho yake apewe ugombea urais wa chama? Kwamba ACT hakuna mtu mwenye sifa za kugombea urais zaidi ya Mpina?. Hilo lilinishangaza Sana. Yani ACT wakarudia kosa la 2020 la kumpa ugombea urais mgeni kutoka CCM.
Ushauri wangu ni kwamba vyama vya upinzani viachane na kasumba ya kubeba wagombea urais kutoka CCM ni aibu Sana. Tena mgombea urais anatoka CCM Leo kesho anapewa ugombea urais. Ni kujidharilisha na kujishuaha mbele ya CCM kwamba ndani ya vyama vya upinzani havina watu sahihi mpaka wakope watu kutoka CCM . Nadhani maneno ya Esther Bulaya mliyasikia kwa umakini.
Sasa sijui unataka watu wajadili kitu gani kwenye mada kama hii.Kwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa akimpiga picha za usajili wa kadi ya uanachama live kabisa kqenye TV.
Nikajiuliza swali, inakuaje Mpina atoke CCM Leo kesho yake apewe ugombea urais wa chama? Kwamba ACT hakuna mtu mwenye sifa za kugombea urais zaidi ya Mpina?. Hilo lilinishangaza Sana. Yani ACT wakarudia kosa la 2020 la kumpa ugombea urais mgeni kutoka CCM.
Ushauri wangu ni kwamba vyama vya upinzani viachane na kasumba ya kubeba wagombea urais kutoka CCM ni aibu Sana. Tena mgombea urais anatoka CCM Leo kesho anapewa ugombea urais. Ni kujidharilisha na kujishuaha mbele ya CCM kwamba ndani ya vyama vya upinzani havina watu sahihi mpaka wakope watu kutoka CCM . Nadhani maneno ya Esther Bulaya mliyasikia kwa umakini.
Katiba ya Chadema inasemaje na katiba ya ACT inasemaje?Mbona hujaongelea la Lowassa kuondoka CCM mwaka 2015 na kesho yake akawa Mgombea Urais wa Chadema? Au kwa Chadema ilikuwa sawa eti?
Na usisahau baada ya Uchaguzi Mkuu alirudi CCM!!!
Mbona hujaongelea la Lowassa kuondoka CCM mwaka 2015 na kesho yake akawa Mgombea Urais wa Chadema? Au kwa Chadema ilikuwa sawa eti?
Na usisahau baada ya Uchaguzi Mkuu alirudi CCM!!!
Sijui hawakusoma hicho kipengele Cha kanuni zao. Wamezingua sa
Kwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa akimpiga picha za usajili wa kadi ya uanachama live kabisa kqenye TV.