johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nadhani walikisoma ndio sababu wamesema wanaenda mahakamaniSijui hawakusoma hicho kipengele Cha kanuni zao. Wamezingua sana
Nadhani walikisoma ndio sababu wamesema wanaenda mahakamaniSijui hawakusoma hicho kipengele Cha kanuni zao. Wamezingua sana
Ahahahahaha! Nimekuelewa. Kwamba Katiba ya ACT WAZALENDO ni bora sana kwamba HUWEZI kuwa Mgombea Urais kabla ya kukaa kwa muda flani na uka blend na chama. Lakini kwa Chadema ni kumbakumba tu. Leo unagombea Urais CCM unashindwa na kesho unakuwa Mgombea Urais wa Chadema. Dogo nimekusoma na kulielewa!Katiba ya Chadema inasemaje na katiba ya ACT inasemaje?
Ficha upumbavu wako kwenye hadhara ya watu wenye akili.
Ipo?sasa wewe unaleta mambo ya 2015? Ndio maana nimetoa ushauri wa kuachana na hii kasumba.
Kwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa akimpiga picha za usajili wa kadi ya uanachama live kabisa kqenye TV.
Nikajiuliza swali, inakuaje Mpina atoke CCM Leo kesho yake apewe ugombea urais wa chama? Kwamba ACT hakuna mtu mwenye sifa za kugombea urais zaidi ya Mpina?. Hilo lilinishangaza Sana. Yani ACT wakarudia kosa la 2020 la kumpa ugombea urais mgeni kutoka CCM.
Ushauri wangu ni kwamba vyama vya upinzani viachane na kasumba ya kubeba wagombea urais kutoka CCM ni aibu Sana. Tena mgombea urais anatoka CCM Leo kesho anapewa ugombea urais. Ni kujidharilisha na kujishuaha mbele ya CCM kwamba ndani ya vyama vya upinzani havina watu sahihi mpaka wakope watu kutoka CCM . Nadhani maneno ya Esther Bulaya mliyasikia kwa umakini.
Sasa sijui unataka watu wajadili kitu gani kwenye mada kama hii.
Unaanza kwa kusema "wapinzani tuaminiane..."; lakini husemi kwa nini hamuaminiani?
Kwa hali hiyo hiyo; kuna sababu unazozijuwa wewe za baadhi ya wapinzani kama hao ACT wasiaminiane na CCM?
Je, wapinzani waaminiane mchana na usiku wakavuruge uaminiani kati yao kwa kwenda kwa CCM wanaoaminiana zaidi nao?
Najuwa si mara yako ya kwanza kuhimiza "kuaminiana", lakini kila mara unajifanya kuwa kama hujui uhalisia wa mambo ulivyo. Hilo ndilo linalo nitatiza na huku kuaminiana kwako unakokuhimiza.
Wasengerema kama wewe ndio wanashusha credibility ya JF tuliyoijenga kwa miaka mingi.Ahahahahaha! Nimekuelewa. Kwamba Katiba ya ACT WAZALENDO ni bora sana kwamba HUWEZI kuwa Mgombea Urais kabla ya kukaa kwa muda flani na uka blend na chama. Lakini kwa Chadema ni kumbakumba tu. Leo unagombea Urais CCM unashindwa na kesho unakuwa Mgombea Urais wa Chadema. Dogo nimekusoma na kulielewa!
Ahahahahaha! Nimekuelewa. Kwamba Katiba ya ACT WAZALENDO ni bora sana kwamba HUWEZI kuwa Mgombea Urais kabla ya kukaa kwa muda flani na uka blend na chama. Lakini kwa Chadema ni kumbakumba tu. Leo unagombea Urais CCM unashindwa na kesho unakuwa Mgombea Urais wa Chadema. Dogo nimekusoma na kulielewa!
Akishinda ni kiki mpya.Ngoja tuone mahakama itasemaje.
Hapana. Naona bado hujanielewa nilicho lenga kukieleza.Mbona meseji yangu ipo very clear. Kuaminiana ni kupeana nafasi ndani ya upinzani kabla ya kutafuta nje ya upinzani.
DramaKwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa akimpiga picha za usajili wa kadi ya uanachama live kabisa kqenye TV.
Nikajiuliza swali, inakuaje Mpina atoke CCM Leo kesho yake apewe ugombea urais wa chama? Kwamba ACT hakuna mtu mwenye sifa za kugombea urais zaidi ya Mpina?. Hilo lilinishangaza Sana. Yani ACT wakarudia kosa la 2020 la kumpa ugombea urais mgeni kutoka CCM.
Ushauri wangu ni kwamba vyama vya upinzani viachane na kasumba ya kubeba wagombea urais kutoka CCM ni aibu Sana. Tena mgombea urais anatoka CCM Leo kesho anapewa ugombea urais. Ni kujidharilisha na kujishuaha mbele ya CCM kwamba ndani ya vyama vya upinzani havina watu sahihi mpaka wakope watu kutoka CCM . Nadhani maneno ya Esther Bulaya mliyasikia kwa umakini.
Labda wafanye hivyo. Ila kutokuwepo kwa Mpina kuwafanya uchaguzi ukose msisimko
Ahahahahaha! Jibu la kipuuzi kweri kweri! Ahahahahaha!!ACT ndio bado wanaiendekeza.
Bila shaka Msengerema unayemzungumzia ni wewe mwenyewe! Ahahahahaha!!Wasengerema kama wewe ndio wanashusha credibility ya JF tuliyoijenga kwa miaka mingi.
Upi?Punguza ubishi mkuu