Wapinzani tuaminiane ili kupunguza aibu ndogo ndogo kama hii ya Mpina

Katiba ya Chadema inasemaje na katiba ya ACT inasemaje?

Ficha upumbavu wako kwenye hadhara ya watu wenye akili.
Ahahahahaha! Nimekuelewa. Kwamba Katiba ya ACT WAZALENDO ni bora sana kwamba HUWEZI kuwa Mgombea Urais kabla ya kukaa kwa muda flani na uka blend na chama. Lakini kwa Chadema ni kumbakumba tu. Leo unagombea Urais CCM unashindwa na kesho unakuwa Mgombea Urais wa Chadema. Dogo nimekusoma na kulielewa!
 

..ACT wamuunge mkono Salum Mwalimu kugombea Uraisi wa Tanganyika.

..Chaumma wamesema hawataweka mgombea Uraisi Zanzibar.
 

Mbona meseji yangu ipo very clear. Kuaminiana ni kupeana nafasi ndani ya upinzani kabla ya kutafuta nje ya upinzani.
 
Wasengerema kama wewe ndio wanashusha credibility ya JF tuliyoijenga kwa miaka mingi.
 
..ACT wamuunge mkono Salum Mwalimu kugombea Uraisi wa Tanganyika.

..Chaumma wamesema hawataweka mgombea Uraisi Zanzibar.

Labda wafanye hivyo. Ila kutokuwepo kwa Mpina kuwafanya uchaguzi ukose msisimko
 

Punguza ubishi mkuu
 
Mbona meseji yangu ipo very clear. Kuaminiana ni kupeana nafasi ndani ya upinzani kabla ya kutafuta nje ya upinzani.
Hapana. Naona bado hujanielewa nilicho lenga kukieleza.

Huku kuaminiana kunatokana na nini hasa? Mimi ninge fikiri ni pamoja na kuwa na malengo; hususani baadhi ya malengo hayo kushabihiana, au siyo?
Nikiaminiana na wewe, utakuwa umekubaliana nami katika baadhi ya malengo ninayokusudia kuyafikia, na unaweza hata kuwa tayari kuniunga mkono kwenye hayo malengo.
Lakini kuaminiana kwetu, kati yako na mimi kukiingiliana na mtu wa tatu; tena mwenye nguvu zaidi kutushinda sisi sote, sidhani kuwa kutakuwepo na kuaminiana kwa dhati katika mpango huo. Kama mpango huo unatishia huyo mtu wa tatu, sioni ushirikiano wowote wa maana hapo.
 
Drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…