Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
CCM imeongoza hii nchi miaka 60 na hakuna maendeleo na karibu miaka 45 haikua na upinzani na miaka 15 ina upinzani dhaifu sana lakini mbona hakuna maendeleo. Umasikini, ujinga na maradhi ndio yamezidi kuongezeka.
Si kweliCcm imeongoza hii nchi miaka 60 na hakuna maendeleo na karibu miaka 45 haikua na upinzani na miaka 15 ina upinzani dhaifu sana lakini mbona hakuna maendeleo. Umasikini, ujinga na maradhi ndio yamezidi kuongezeka.
Kwa miaka yote hiyo wao walikua wanafanya kazi kwa maslahi ya nani? Nchi ni bado ni masikini Duniani.
Hii nchi haikuwahi kua na upinzani kwa miaka zaidi ya 40, mbona hatukuifikia hata Kenya? Kwa miaka 60 karibu hakukua na upinzani kabisa na miaka 20 kumekua na upinzani dhaifu. Mbona hayo maendeleo hayakuja?Tungekuwa na wapinzani wenye maono kama yako,hakika tungekuwa tunakimbizana na South Africa sahivi na #covid19 tungeshaishinda zamani.
High five mkuu.
Ukweli unaoujua ni upi? Maana inaonekana una version yako ya ukweli.Si kweli
Tatizo uendeshaji wa miradi hiyo, shida syo wapinzani mchawi ni Hao Hao wanao chaguliwa kusimamia miradi hiyoSi kweli
Huo umasikini wa Tz na South Sudan unalingana vipi? Huo usukani wa umasikini Tz imeushikaje? In terms of what? Is it GDP? Or Per Capita? Au kwa lipi?Ukweli unaoujua ni upi? Maana inaonekana una version yako ya ukweli.
Sio kweli kwamba ccm haijaongoza hii nchi miaka 60?
Sio kweli kwamba karibu miaka 40 hatukua na upinzani kabisa?
Sio kweli kwamba ujinga, maradhi na umasikini vimezidi kuongezeka kwa kasi kila siku?
Sio kweli kwamba kwa miaka 20 hatunawahi kua na upinzani wa maana wa kutela pingamizi zozote? Hawajahi hata kufika 30% ya wabunge.
Sio kweli kua kwa miaka 60 bado tumeendelea kushika usukani aa nchi masikini zaidi Duniani sawa na Sudani kusini.
Miaka yote hiyo mtawala nadhani ni wapinzani na sio ccm.
Huo umasikini wa Tz na South Sudan unalingana vipi? Huo usukani wa umasikini Tz imeushikaje? In terms of what? Is it GDP? Or Per Capita? Au kwa lipi?
Hujanijibu swali langu hata moja hapo juu. Au hujui maana ya hizo terms?