tumeona mambo yalivyokuwa mwaka huu ingawa bado kuna wenzetu hawakubaliani na baadhi ya matokeo kwa sababu wanojua wao binafsi ila ukweli ni kwamba bado upinzani haujawa na nguvu ya kutosha hivyo jipangeni good trial......
Kiuwezo wa kuunda hoja upinzani ni zaidi ya CCM, mpime JK kihoja na wagombea wenzake, nani zaidi. JK ni mwoga wa midahalo, hajui geografia ya nchi yake. Ana uwezo mdogo wa kufanya maamuzi magumu