Elections 2010 wapinzani vizuri sana ila.......

Elections 2010 wapinzani vizuri sana ila.......

nyambari

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
355
Reaction score
171
tumeona mambo yalivyokuwa mwaka huu ingawa bado kuna wenzetu hawakubaliani na baadhi ya matokeo kwa sababu wanojua wao binafsi ila ukweli ni kwamba bado upinzani haujawa na nguvu ya kutosha hivyo jipangeni good trial......
 
Mh! Mbona hatakiwango cha "hoja chai" hakijafikiwa!
 
nilidhani wabush umerekebika baada ya kumwomba mtu fulan msamaha anyway 'a tiger cant change its spot'
 
Ndio hivyo wameanza.......hata Rumi haikujengwa kwa siku moja.
 
Kiuwezo wa kuunda hoja upinzani ni zaidi ya CCM, mpime JK kihoja na wagombea wenzake, nani zaidi. JK ni mwoga wa midahalo, hajui geografia ya nchi yake. Ana uwezo mdogo wa kufanya maamuzi magumu
 
Back
Top Bottom