Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
- Thread starter
-
- #21
Haya ni mawazo yako na yakusaidie wewe,Kwani lini ccm ilishinda huko kwa Wapemba? Safari hii baada ya ACT kusema wanajitoa serikali ya umoja wa kitaifa ndio majizi ya kura imebidi muone soni.
Idadi ndogo ya wapiga kura inaweza kuchangiwa na wananchi kuamini kuwa chama fulani kitashinda tu kwa kuwa hakina upinzani; siyo lazima iwe watu kususia uchaguzi eti kwa kuwa chadema hawakushiriki.Rejea idadi ndogo sana ya wapiga kura huko Ushetu ndio ujue hiki sio kizazi cha ccm.
Lete ushahidi acha longolongo
Nijibu kuhusu Konde kama kweli wewe ni muungwanaNyie inabidi muombe mechi ya malumbamo ya HOJA Club House au Twitter Space.
Sometime mnaonekana kusimamia mambo ya kiujanjaujanja zaidi.
Inabidi tutoke huko.
Hivi wewe Ukaambiwa Kuna Mechi ya Simba na Yanga halafu Ukaambiwa Refa mi Manara. Hayo matokeo yatakuwa na uhalali kwa kiasi gani.
Yanakuwaje halali wakati Refa ana upande?
Idadi ndogo ya wapiga kura inaweza kuchangiwa na wananchi kuamini kuwa chama fulani kitashinda tu kwa kuwa hakina upinzani; siyo lazima iwe watu kususia uchaguzi eti kwa kuwa chadema hawakushiriki.
Sina shaka ya nisemacho. Ukitaka kujua hakukuwa na uchaguzi bali uhuni wa kizee, ingia kwenye tovuti ya tume kama kuna matokeo yoyote ya uchaguzi toka mwendakuzimu ameingia madarakani. Lakini ingia kwenye tovuti ya NECTA matokeo ya miaka mingi ya shule yapo.Acha
Mwache huyu mzee alale mkuu sio busara kumjadiliMbona kabla ya dhalimu kunajisi chaguzi zetu na kupandikiza uhayawani wapiga kura walikuwa wengi?
Konde CCM wangeshinda kila mtu angeliona kuna janjajanja. Ile Ni Ngome ya Upinzani looking time. So Jimbo limerudi linakostahili. Hakuna jipya. Isiyoshe pale Kuna Serikali ya Kitaifa, ACT wako Serikalini, sio rahisi Sana kufanya mafongo fyongo!Nijibu kuhusu Konde kama kweli wewe ni muungwana
Kwa hiyo sasa hivi CCM mmeacha hii tabia?ππππNdio kwakuwa CCM tumebadili mgombea,
Kwenye ushindi mgombea anabeba 40% ya Ushindi
CCM haitaishiwa mazuzu.Ndio kwakuwa CCM tumebadili mgombea,
Kwenye ushindi mgombea anabeba 40% ya Ushindi
Acha kuchagiza migogoro ya watu njoo CCM,
Hawa ni Chadema kamsikile mwenezi mstaafu bwana PolepoleKwa hiyo sasa hivi CCM mmeacha hii tabia?ππππView attachment 1970377
Vijana ni wengi sana CCMSina mawazo ya kizee, nitajiungaje na chama cha wazee ambao ni majizi ya kura?
Mwache huyu mzee alale mkuu sio busara kumjadili
Wananuka uovuTena ni shetani haswa.
Vijana ni wengi sana CCM
[emoji23][emoji23][emoji23]Uchwara wako kila kitu unamsingizia.Tunawajadili akina Hitler, Mussolini nk ndio itakuwa huyo dictator uchwara?
Halafu wewe! Kwani chadema ya wakati ule unaweza kuilinganisha na hili genge la wahuni la sasa hivi?Mbona kabla ya dhalimu kunajisi chaguzi zetu na kupandikiza uhayawani wapiga kura walikuwa wengi?
Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Hawa ni Chadema kamsikile ni mstaafu bwana Polepole