Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

Uko sahihi 100%
 
Uchaguzi wowote ule unaotokana na nguvu ya kura kwenye sanduku la kura ndio halali ila sio hizi chaguzi za Tanzania ambazo kikundi flani Cha watu ndio kinaamua nani ashinde
 
Wewe hivi una akili gani?
Maana hata uandishi wako ni kama umetoroka mirembe
 
Uchaguzi wowote ule unaotokana na nguvu ya kura kwenye sanduku la kura ndio halali ila sio hizi chaguzi za Tanzania ambazo kikundi flani Cha watu ndio kinaamua nani ashinde
No, Mwogope Mungu Tanzania chaguzi ni huru sana shida maandalizi
 
Huyu jamaa ni sawa na samaki pono tu maana anaonekana bado yupo usingizini.
 
Tusiende mbali hivi majuzi kabla ya kifo cha dhalimu cdm walikuwa wanasema kuna corona na hatua stahiki zichukuliwe, wakati huo ccm walikuwa wanafuata atakacho dhalimu kuwa hakuna corona na tutumie nyungu. Leo dhalimu yuko kuzimu ccm wote wanashawishi watu wachanje na hakuna anayeongelea nyungu tena. Niendelee?
 
Mkuu kwa mchezo mnaochezewa na Mbowe CCM Itaitawala TZ kwa mda mrefu sana. Sasa hv amepiga marufuku CDM kugombea uongozi wowote hii inazidi kuidhoofisha CDM. Na nyie wanachama wa CDM mlivyo mazombi mnashangilia. Kuficha ukweli wa hilo la kudhoofisha chama wanacheza mchezo wa kuigiza na CCM kuwa Mbowe anashitakiwa kwa ugaidi. Na nyie mmekomaaa Mbowe siyo gaidi Pasipo kujua huu ni mchezo wa kuigiza kati ya Mbowe na CCm ili kuunga mkono kauli ya kutoshiriki uchaguzi. Mbuzi sana nyie CDM. Hata akili ya kupambanua michezo ya kuigiza hamna.
 
Amka ww kumekucha maana utachafua godoro. Hapo unaona ndio umeniambia ukweli kana kwamba mimi siujui ukweli. Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Kama Mbowe anacheza mchezo na CCM, hivyo vyama vingine mbona havishindi?
 
Shida zaidi hata wanachadema wenyewe ambao ni wengi kuliko wana ccm wameshindwa kuzimaliza chanjo milion1 ambazo walizipigania kabla hata ya huyo wanayemwita dhalim. Hii inanipa picha kuwa chadema ni wachache sana na kura hawaibiwi
 
Mnachoweza ni matusi nyie vijana wa CDM. Mm ni mtanzania niliekuwa nikiuhusudu sana upinzani lakini kwa michezo hii ya kijinga ya upinzani na CCM nimelazimika kubakia neutral.

Unavyosemea vyama vingine ndiyo hivyo vyama vinavyoongozwa na Lipumba na Zitto. Ina maana tabia ya hao wawili huijui? Sumbua akili yako kufanya utafiti wako acha kufanyia kazi akili za watu wengine mkuu. Pia elewa wengi malipo katika vyama vya siasa shida Yao ni pesa na si vinginevyo. Slaa, kafulila, Nyalandu, Lowasa, Sumaye, nk ni mfano aina ya wanasiasa tulionao.
 
Anzisha chama mkuu ukiendeshe vizuri.
 
Shida zaidi hata wanachadema wenyewe ambao ni wengi kuliko wana ccm wameshindwa kuzimaliza chanjo milion1 ambazo walizipigania kabla hata ya huyo wanayemwita dhalim. Hii inanipa picha kuwa chadema ni wachache sana na kura hawaibiwi
Msimamo wa chama sio lazima uwe wa wafuasi wake. Una maoni zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…