Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
- Thread starter
-
- #61
Amka ww kumekucha maana utachafua godoro. Hapo unaona ndio umeniambia ukweli kana kwamba mimi siujui ukweli. Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Kama Mbowe anacheza mchezo na CCM, hivyo vyama vingine mbona havishindi?
wababayangu nadhani umeona akili hawa watu,Ongeza tusi lingine mkuu. Hilo halijaniadhili chochote. Najua akili yako ina uwezo wa kutafakali matusi tu.
Daa Taifa linaangamia kwa kuwa na kizazi cha laana kama wewe.
HAKUNA KAMA CCM,CCM ni chama cha mvamizi Tanganyika anayetumia jina la Tanzania
Ulisahau wizi , mauwaji, utekaji, kuvunja nyumba Za watu, kukwapua Mali Na mashamba ya watu nkHAKUNA KAMA CCM,
kisera
Kiitikadi
Kifalsafa
Ham;Shida zaidi hata wanachadema wenyewe ambao ni wengi kuliko wana ccm wameshindwa kuzimaliza chanjo milion1 ambazo walizipigania kabla hata ya huyo wanayemwita dhalim. Hii inanipa picha kuwa chadema ni wachache sana na kura hawaibiwi
Safi Sana Pacha endelea kuwapa hawa pingapina,Hivi upinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde tu | Je! ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa tume gani ya Uchaguzi? Hongera Rais Samia kwa kusimamia demokrasia nchini
"Hakuna kama Samia "
Upinzani wa nchi hii umekuwa ukipoteza sifa ( credibility ) siku baada ya siku kutokana na kauli na matendo ya viongozi wake pale uadilifu na uaminifu wao unapolinganishwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi | Chama tawala yaani CCM ni kama mashariki na magharibi,
Upinzani wa Tanzania ukitaka kuwaamini hawaaminiki ukitaka kuwasikiliza wanapiga kelele,Ukiwahurumia wanasema umewaogopa kwa kifupi Wapinzani wa Tanzania hawajui wanataka nini,
Wakati Chadema wanasusia Uchaguzi kwa kisingizio cha Tume ya Uchaguzi Tanzania kuwa si huru wakati huohuo ACT Wazalendo wanashinda Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde huko Zanzibar kwa tume hii hii ya NEC|ZEC "nimazingaombwe haya"
Chaajabu zaidi,Upinzani wa Tanzania adui yake namba moja ni dola wala sio Umasikini wa Watanzania, wala sio maradhi ya Watanzania wala sio Ujinga wa Watanzania wao kutwa ni ligi na Rais, ligi na IGP, ligi na Msajili, ligi na spika kwa kifupi hawajui wanataka nini kwa nani na kwanini.
Kwa msiofahamu,Vyama hivi vimepoteza sana dira za vijana wengi kwa vijana hao kutokufahamu origin ya vyama hivyo kabla ya kujiunga, hebu fikiria Chadema ni matokeo ya Ugomvi baina ya Mwl Nyerere na Gavana Edwin Mtei ndio ikazaliwa Chadema wewe unayejiita kamanda Chama zao la mgogoro unadhani kitakufikisha au kitafika wapi kama sio migogoro kila siku? au Ugomvi wa Mbowe na Zitto ikazaliwa ACT-Wazalendo vyie Ngome ya Vijana kwanini mtumike kuchagiza gomvi za watu !? Is there any bright future kweli ACT | CHADEMA ?
Hivi kweli mtu aache kuchagua SGR toka Dar-Mwanza masaa 9,aache MW 2,115 toka JNHPP aache kuvuta Umeme kwa Tshs 27,000,aache chama kinachonunua ndege mpya 16,aache kuchagua chama kinachosomesha watoto wake wote bure,aache chama kinachotoa mikopo ya HESLB kwa wanachuo wote,aache chama kinachosimamia mikopo kwa riba ya 10%,aaache chama kinachosimamia bando kwa bei chee Africa nzima, aache chama kinachouza umeme chee Africa Mashariki yote ni $0.099/KWh leo achague hizo NGOs zenu kweli, don't waste your time bro's & sisters,
" Ukweli mchungu,Tanzania bado hakuna Chama mbadala wa CCM tukitegemee labda miaka ya 2060 "
#VIJANA NJOONI CCM TUMSAIDIE MAMA SAMIA KUJENGA NCHI TUNAJUA MNAZO NGUVU ACHENI KUCHAGIZA MIGOGORO YA WATU HUKO,
View attachment 1970343
MBUNGE MTEULE ACT-WAZALENDO
ILA TUME NI ILEILE ISIYOHURU-ZEC
Hahaha CCM chama baba lazima kiangalie ustawi wa watoto,CHADEMA imewashika pabaya CCM, uchaguzi mshindane na wadogo zenu ACT, lawama muwatupie CHADEMA
Mtoto wako mko naye mashindanoni lakini unaumizwa na mtoto wa kambo ambaye hayuko mashindanoni. Huoni kuwa huo ni uzuzuHahaha CCM chama baba lazima kiangalie ustawi wa watoto,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Umesahau Jecha alichokifanya Zanzibar baada ya kuona Maalim Seif anaongoza kwa mbali sana?Kwani 2015 zile kura 6m za Lowassa tume ilikuwa ipi?
Chadema lengo lenu sio nzuri kwa nchi tunajua
u shabiki nzuri. mbona hujiulizi ni kwa vipi leo act ishinde, na miezi 11 nyuma ccm ilishinda kwa kishindo? nini kimetokea, huoni ni shinikizo?Hivi upinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde tu | Je! ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa tume gani ya Uchaguzi? Hongera Rais Samia kwa kusimamia demokrasia nchini
"Hakuna kama Samia "
Upinzani wa nchi hii umekuwa ukipoteza sifa ( credibility ) siku baada ya siku kutokana na kauli na matendo ya viongozi wake pale uadilifu na uaminifu wao unapolinganishwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi | Chama tawala yaani CCM ni kama mashariki na magharibi,
Upinzani wa Tanzania ukitaka kuwaamini hawaaminiki ukitaka kuwasikiliza wanapiga kelele,Ukiwahurumia wanasema umewaogopa kwa kifupi Wapinzani wa Tanzania hawajui wanataka nini,
Wakati Chadema wanasusia Uchaguzi kwa kisingizio cha Tume ya Uchaguzi Tanzania kuwa si huru wakati huohuo ACT Wazalendo wanashinda Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde huko Zanzibar kwa tume hii hii ya NEC|ZEC "nimazingaombwe haya"
Chaajabu zaidi,Upinzani wa Tanzania adui yake namba moja ni dola wala sio Umasikini wa Watanzania, wala sio maradhi ya Watanzania wala sio Ujinga wa Watanzania wao kutwa ni ligi na Rais, ligi na IGP, ligi na Msajili, ligi na spika kwa kifupi hawajui wanataka nini kwa nani na kwanini.
Kwa msiofahamu,Vyama hivi vimepoteza sana dira za vijana wengi kwa vijana hao kutokufahamu origin ya vyama hivyo kabla ya kujiunga, hebu fikiria Chadema ni matokeo ya Ugomvi baina ya Mwl Nyerere na Gavana Edwin Mtei ndio ikazaliwa Chadema wewe unayejiita kamanda Chama zao la mgogoro unadhani kitakufikisha au kitafika wapi kama sio migogoro kila siku? au Ugomvi wa Mbowe na Zitto ikazaliwa ACT-Wazalendo vyie Ngome ya Vijana kwanini mtumike kuchagiza gomvi za watu !? Is there any bright future kweli ACT | CHADEMA ?
Hivi kweli mtu aache kuchagua SGR toka Dar-Mwanza masaa 9,aache MW 2,115 toka JNHPP aache kuvuta Umeme kwa Tshs 27,000,aache chama kinachonunua ndege mpya 16,aache kuchagua chama kinachosomesha watoto wake wote bure,aache chama kinachotoa mikopo ya HESLB kwa wanachuo wote,aache chama kinachosimamia mikopo kwa riba ya 10%,aaache chama kinachosimamia bando kwa bei chee Africa nzima, aache chama kinachouza umeme chee Africa Mashariki yote ni $0.099/KWh leo achague hizo NGOs zenu kweli, don't waste your time bro's & sisters,
" Ukweli mchungu,Tanzania bado hakuna Chama mbadala wa CCM tukitegemee labda miaka ya 2060 "
#VIJANA NJOONI CCM TUMSAIDIE MAMA SAMIA KUJENGA NCHI TUNAJUA MNAZO NGUVU ACHENI KUCHAGIZA MIGOGORO YA WATU HUKO,
View attachment 1970343
MBUNGE MTEULE ACT-WAZALENDO
ILA TUME NI ILEILE ISIYOHURU-ZEC
Mkuu acha kuishi kwa historia,Umesahau Jecha alichokifanya Zanzibar baada ya kuona Maalim Seif anaongoza kwa mbali sana?
Eti uchaguzi ukafuwa!Yaani kituo hicho hicho kimoja mtu kapiga kura ya Rais Wa JMT,Rais Wa Zanzibar na mbunge halafu wanasema kura za Rais Zanzibar pekee ndio batili hivyo uchaguzi umefutwa!
Kama sio kubebwa na tume ni nini?
Hii kuachiwa jimbo ni geresha,wao wanaangalia kiti kikubwa!
Hakuna shinikizo Mama hataki dhuluma kabisa,u shabiki nzuri. mbona hujiulizi ni kwa vipi leo act ishinde, na miezi 11 nyuma ccm ilishinda kwa kishindo? nini kimetokea, huoni ni shinikizo?
Acheni woga chadema njooni CCM,Mtoto wako mko naye mashindanoni lakini unaumizwa na mtoto wa kambo ambaye hayuko mashindanoni. Huoni kuwa huo ni uzuzu
sio kweli mkuu mambo yamebadilika sana,Tanzania huwa haifanyi uchaguzi bali inafanya kiini macho aka mazingaombwe kuwadanganya watu wazima kushinda juani kwa njaa na kiu kwa kitu ambacho hakipo.
Ndio labda kuanzia 2060 upinzani kidogo utakuwepo sio hawa wahuni wa sasaAdui mkubwa wa CCM ni Chadema, ndiyo maana kwao wanafanya kila wawezalo kuhakikisha hiki chama hakisongi mbele, wanatumia kila fursa waliyonayo kufanikisha hilo. Ndiyo maana tunao polisi ambao badala washughulike na usalama wa raia na mali zao, wao wako bize kuwabambikia kesi watu wa Chadema. Hata JWTZ nalo limeanza kupoteza heshima yake, baada ya kuanza kujiingiza kwenye usafi wa kijinga wa mazingira siku ya shughuli za Chadema. CCM haipendwi na imechokwa na uzuri yenyewe inajua ukweli huu.
Fikiria, kama kweli CCM inapendwa na inashinda kwa kishindo namna ile, inaogopa nini Tume Huru ya Uchaguzi, inaogopa nini Katiba Mpya? Hivi vitu vyote vitaundwa yenyewe ikiwa madarakani, uoga unakuja vitu hivi vitakapoanza kufanya kazi, ukweli utajionyesha.
Ila hata hivyo, CCM haiwezi kutawala milele, itawafunga wapinzani, itawaua na kuwatesa, ipo siku itaondoka na walafi wote watafilisiwa
Taga mtataga mwaka huu[emoji1][emoji1]Watanzania wameshawagundua kuwa ni wababaishaji hasa huku bara.
Tanzania Upinzani hakuna ila kunawapiganaji wa kusaka chochote.
Angalia maisha ya viongozi wao.
CHAMA NI CCM TU TANZANIA NA RAIS NI SAMIA
Duuh,hapo umeandika bila kufikiri!!Mkuu acha kuishi kwa historia,
#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI