Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

Hii ndiyo propaganda ambayo Lumumba wametumia muda na pesa Kuja nayo hapa....!!
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
Crazy idiot thinking: Chaajabu zaidi,Upinzani wa Tanzania adui yake namba moja ni dola wala sio Umasikini wa Watanzania, wala sio maradhi ya Watanzania wala sio Ujinga wa Watanzania wao kutwa ni ligi na Rais, ligi na IGP, ligi na Msajili, ligi na spika kwa kifupi hawajui wanataka nini kwa nani na kwanini.

Kilaza kama wewe hujui chimbuko la umaskini, maradhi na ujinga kuwa ni utawala mbovu na siasa za kipumbavu?
Kilaza kama wewe huelewi kuwa IGP, msajili na rais na magugu ya CCmboga ndiyo chanzo cha shida zote? Vilaza kama wewe unafikiria matawi badala mizizi.
Wanajua wanataka nini na hata wewe unajua wanataka nini-- KUSHIKA DOLA!!
Ndiyo shida ya chifu Hangaya, IGP, ****** na wengine.
Nikupe ushauri! Waambie wenzio waachie tume iwe huru,Siro na jeshi lake wawe fair, Chifu Hangaya asitumie dola kwenye uchaguzi na tutumie katiba hii hii mbovu--- DOLA INACHUKULIWA ASUBUHI na mapema! Asiamini usiamini
 
Acha kufokea watu,

Upinzani wa Tanzania ni fighting for food tu hawana uwezo wa kuongoza nchi,
 
Ushauri kwa wazee wa CCM au dola:

Ajirini wanapropaganda wenye IQ za maana. Wanaoweza kuandika uongo wenye kuunganika kimantiki (wenye logical articulation). Mabandiko na maandiko kama hili ni embarrassment (aibu). Linaonyesha uelewa wa mfumo wa vyama vingi; vigezo, taasisi, na michakato ya demokrasia ni ZERO - even negative.

Kutuletea porojo za aina hii watu tulioelimika ni kutufanyia dharau. Mnaweza kuendeleza utawala wa kidikteta kwa kutandaza propaganda zilizoenda shule. Sio huu upuuzi. NO NEED TO INSULT OUR INTELLIGENCE.
 
Ningeshangaa sana kama ungesifia,

Naona message sent and delivered ,

Tanzania hakuna Upinzani ila matokeo ya migogoro tu,Bisha kwa evidence


KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Umeandika na nimesoma ila mkuu unalalamika sana,

Tanzania haina chama cha siasa am telling you


KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Aache chama kisicholipa Watumishi wa Serikali na kutopandisha madaraja na mishahara kwa miaka sita!?
 
Kali sana hii,


Vijana ni kweli wengi wamepotezwa huku maskini,
 
Maniner maharamia nyie othman kawapiga biti mumpe sababu ya yeye kubaki kwa serikali yenu ikabidi mteme ndoano muwaachie hao CCM b ila mlikua mshafanya yenu..aibu hamna nyie wajalaana
 
Mungu ibariki chadema cc Erythrocyte
 
Ningeshangaa sana kama ungesifia,

Naona message sent and delivered ,

Tanzania hakuna Upinzani ila matokeo ya migogoro tu,Bisha kwa evidence


KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Una juhudi za dhati. Lakini usisahau kuwa unaotuandikia si wote watu wa “mitaani”. Tumebobea kitaaluma na kivitendo kwenye mifumo ya serikali na kimataifa. Btw tuko wengi hapa.

Hivyo, hakikisha maandiko yako yanaheshimu uwezo wetu wa kufikiri, kuchambua na kupambanua. Kwa mfano unachodai nibishe kwa evidence hapa hakina maana. “Tanzania hakuna upinzani ila matokeo ya migogoro tu”! Doesn’t make sense at all.

Rudi shule ukajifunze kuhusu michakato ya kisiasa na minyumbuliko ya kitaasisi katika demokrasia. Maana ya upinzani. Halafu rudi uanze tena kueleza unachotaka bila propaganda rahisi rahisi.
 
Sikweli kwamba Mbowe anasingiziwa,

Nadhani tuiache mahakama itatoa majibu
 

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
14|10|2021

Kesho Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…