muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
We hujui soka mkuu, refa alimpa kadi ya njano ya kwanza kwa kumuonea ili amtengenezee mazingira ya kumpa kadi nyekundu na hapo ndipo upendeleo ulipo. Mzamiru kacheza faulo nyingi sana, kanoute the same ila wote wamemaliza Dak 90.Wewe ni kiharage! Yaani unakana hiyo faul ilosababisha red card? Eti kisa mchezaji kawin mpira! Je hukuona mkono ulivyompiga sakho kichwani?
Liko wazi ilo mkuuMadunduka hayawezi bila kusapotiwa.
Huyo ni Simba sijua kaaanza lini kuwa hiviMkuu naona unajichekesha ila roho inakuuma 😆.
Huu ni mchezo tu, relax.
Fanya Simba ina point moja basi na goli 2We hujui soka mkuu, refa alimpa kadi ya njano ya kwanza kwa kumuonea ili amtengenezee mazingira ya kumpa kadi nyekundu na hapo ndipo upendeleo ulipo. Mzamiru kacheza faulo nyingi sana, kanoute the same ila wote wamemaliza Dak 90.
Ukweli mnabebwa Kila mtu anaona na ni aibu Kwenu maana pamoja na kubebwa Wala hamaogei upo palepale kwenye nafasi yapili
Hajawahi kuuongelea mpira, huwa anakujaga kuongea uzushi tu na lawama zisizo na kichwa wala miguu, nadhan ndo mshabiki wa hovyo zaidi humu kwenye jukwaa la michezo maana yeye kila siku ni kuanzisha threads za Young Africans kuwa wananunua mechi, matukio kama hayo yakitokea upande wa Simba anakuja kuongea upuuzi tu hapa jukwaani..Afadhali nawewe umemuona huyo jamaa ni mzushi asiyejua kitu zaidi ya umbea umbea tu na habari za kuokoteza. Yaani kufeli kwa Simba lawama zote atapeleka yanga
Ila wewe.We hujui soka mkuu, refa alimpa kadi ya njano ya kwanza kwa kumuonea ili amtengenezee mazingira ya kumpa kadi nyekundu na hapo ndipo upendeleo ulipo. Mzamiru kacheza faulo nyingi sana, kanoute the same ila wote wamemaliza Dak 90.
Ukweli mnabebwa Kila mtu anaona na ni aibu Kwenu maana pamoja na kubebwa Wala hamaogei upo palepale kwenye nafasi yapili
ExtremelyRubbish!!
Imagine lile Yale magoli alofungwa Leo manula ingekuwa ni kipa wa team nyingine amefungwa magoli Yale na Young Africans basi angekuwa kashakuja humu kusema Yanga wananunua mechi lakn simskii Leo akisema manula amepokea bahashaAfadhali nawewe umemuona huyo jamaa ni mzushi asiyejua kitu zaidi ya umbea umbea tu na habari za kuokoteza. Yaani kufeli kwa Simba lawama zote atapeleka yanga
[emoji23]Angalia. Umbwa hii
Mcc wasingekua pungufu na ile penalty ya mchongo wasingepewa saa hz tungekua tunasema mengine🤣🤣🤣🤣me sijaona pengo la huyo alipewa Nyekundu, game ilikuwa kama 11vs11….
Aluuuta kontinywaaaa
Mtu ambaye kakuzidi pointi na ana uhakika wa kukupasua kwenye game dhidi yako anaanzaje kuumia kwa ushindi wenu wa kuunga unga,kolo's ndio mmeshinda lkn hamna furaha maana ushindi wenyewe wa mchongoMkuu naona unajichekesha ila roho inakuuma 😆.
Huu ni mchezo tu, relax.
Makolo leo wamecheza rafu 20 huku mcc rafu 12 nenda kaangalie sasa timu iliyopewa kadi nyingi hii leo,saidoo alikanyaga maksudi akupewa adhabu yoyote,mzamiru na onyango leo umeme uliwahusu lkn refa kama awaoni vile,na makolo washukuru wale mcc kuwa pungufu la sivyo saa hz yangekua mayowe ya kilo's atumataki atumtakiWe hujui soka mkuu, refa alimpa kadi ya njano ya kwanza kwa kumuonea ili amtengenezee mazingira ya kumpa kadi nyekundu na hapo ndipo upendeleo ulipo. Mzamiru kacheza faulo nyingi sana, kanoute the same ila wote wamemaliza Dak 90.
Ukweli mnabebwa Kila mtu anaona na ni aibu Kwenu maana pamoja na kubebwa Wala hamaogei upo palepale kwenye nafasi yapili
Yaani mkuu hii timu bila mbeleko ni sawa na gwambina tu haina uwezo wakushinda bila makandokandoMakolo leo wamecheza rafu 20 huku mcc rafu 12 nenda kaangalie sasa timu iliyopewa kadi nyingi hii leo,saidoo alikanyaga maksudi akupewa adhabu yoyote,mzamiru na onyango leo umeme uliwahusu lkn refa kama awaoni vile,na makolo washukuru wale mcc kuwa pungufu la sivyo saa hz yangekua mayowe ya kilo's atumataki atumtaki
Kama ni hivyo mbona unaweweseka. Mavi yanagonga chupi.Calm down.Yaani mkuu hii timu bila mbeleko ni sawa na gwambina tu haina uwezo wakushinda bila makandokando