Wapinzani wa Simba kupewa red card ni maelekezo kutoka TFF au waamuzi wetu wana viwango hafifu?

Wewe ni kiharage! Yaani unakana hiyo faul ilosababisha red card? Eti kisa mchezaji kawin mpira! Je hukuona mkono ulivyompiga sakho kichwani?
We hujui soka mkuu, refa alimpa kadi ya njano ya kwanza kwa kumuonea ili amtengenezee mazingira ya kumpa kadi nyekundu na hapo ndipo upendeleo ulipo. Mzamiru kacheza faulo nyingi sana, kanoute the same ila wote wamemaliza Dak 90.
Ukweli mnabebwa Kila mtu anaona na ni aibu Kwenu maana pamoja na kubebwa Wala hamaogei upo palepale kwenye nafasi yapili
 
Fanya Simba ina point moja basi na goli 2
 
Afadhali nawewe umemuona huyo jamaa ni mzushi asiyejua kitu zaidi ya umbea umbea tu na habari za kuokoteza. Yaani kufeli kwa Simba lawama zote atapeleka yanga
Hajawahi kuuongelea mpira, huwa anakujaga kuongea uzushi tu na lawama zisizo na kichwa wala miguu, nadhan ndo mshabiki wa hovyo zaidi humu kwenye jukwaa la michezo maana yeye kila siku ni kuanzisha threads za Young Africans kuwa wananunua mechi, matukio kama hayo yakitokea upande wa Simba anakuja kuongea upuuzi tu hapa jukwaani..
 
We hujui soka mkuu, refa alimpa kadi ya njano ya kwanza kwa kumuonea ili amtengenezee mazingira ya kumpa kadi nyekundu na hapo ndipo upendeleo ulipo. Mzamiru kacheza faulo nyingi sana, kanoute the same ila wote wamemaliza Dak 90.
Ukweli mnabebwa Kila mtu anaona na ni aibu Kwenu maana pamoja na kubebwa Wala hamaogei upo palepale kwenye nafasi yapili
Ila wewe.
 
hii mitimu miwili hii, inabebwa sana hapa nchini. Yaani kila ikitoa sare au kufungwa utasikia mishabiki yao inasema TULIKAMIWA SANA, sasa najiulizwa kwani mpira ni mashindano ya kupaka lotion uwanjani au ni nini?. watu watumikie ajira zao kwa ukamilifu alafu wewe kwa kushindwa kwako useme ULIKAMIWA SANA..kweli unakuwa na akili timamu kweli jamani 😎 🙁.
Ila nawaombea Azam na Big stars watakapocheza na hawa mabwana..wacheze kwa juhudi zote maana wameajiriwa ili wacheze, wasiwadekeze hawa mabwana...wanaharibika kisaikolojia kwakweli🙂. akili za mashabiki wa hizi timu mbili haziko sawa sawa..na bahati mbaya zaidi zina mashabiki wengi ...inawezekana tuna taifa bovu sana katika kufikiri na maendeleo
 
Afadhali nawewe umemuona huyo jamaa ni mzushi asiyejua kitu zaidi ya umbea umbea tu na habari za kuokoteza. Yaani kufeli kwa Simba lawama zote atapeleka yanga
Imagine lile Yale magoli alofungwa Leo manula ingekuwa ni kipa wa team nyingine amefungwa magoli Yale na Young Africans basi angekuwa kashakuja humu kusema Yanga wananunua mechi lakn simskii Leo akisema manula amepokea bahasha
 
Kama ilivyo kawaida kila wanapocheza na Simba lazima wamuumize mchezaji hasa Phiri
 
Mkuu naona unajichekesha ila roho inakuuma 😆.
Huu ni mchezo tu, relax.
Mtu ambaye kakuzidi pointi na ana uhakika wa kukupasua kwenye game dhidi yako anaanzaje kuumia kwa ushindi wenu wa kuunga unga,kolo's ndio mmeshinda lkn hamna furaha maana ushindi wenyewe wa mchongo
 
We hujui soka mkuu, refa alimpa kadi ya njano ya kwanza kwa kumuonea ili amtengenezee mazingira ya kumpa kadi nyekundu na hapo ndipo upendeleo ulipo. Mzamiru kacheza faulo nyingi sana, kanoute the same ila wote wamemaliza Dak 90.
Ukweli mnabebwa Kila mtu anaona na ni aibu Kwenu maana pamoja na kubebwa Wala hamaogei upo palepale kwenye nafasi yapili
Makolo leo wamecheza rafu 20 huku mcc rafu 12 nenda kaangalie sasa timu iliyopewa kadi nyingi hii leo,saidoo alikanyaga maksudi akupewa adhabu yoyote,mzamiru na onyango leo umeme uliwahusu lkn refa kama awaoni vile,na makolo washukuru wale mcc kuwa pungufu la sivyo saa hz yangekua mayowe ya kilo's atumataki atumtaki
 
Yaani mkuu hii timu bila mbeleko ni sawa na gwambina tu haina uwezo wakushinda bila makandokando
 
Back
Top Bottom