Imekuwa ni kawaida sasa Timu mgeni zikicheza na Simba uwanja wa taifa lazima wamalize pungufu kwa mchezaji wao mmoja au zaidi kupewa redi kadi huku Simba wakipewa penati zenye utata.
Je, TFF na bodi ya ligi wameyabariki haya yatokee? Au tuwalaumu waamuzi kwa upendeleo wa wazi wanaoufanya na kuziumiza timu pinzani kila zichezapo na Simba?
Niko hapa nasubiri majibu