Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ungekuwa na uhakika usingekuwa unafuatilia matokeo ya Simba, na wala usingejali hata akishinda kwa mchongo 😀Mtu ambaye kakuzidi pointi na ana uhakika wa kukupasua kwenye game dhidi yako anaanzaje kuumia kwa ushindi wenu wa kuunga unga,kolo's ndio mmeshinda lkn hamna furaha maana ushindi wenyewe wa mchongo