Wapinzani wa Simba kupewa red card ni maelekezo kutoka TFF au waamuzi wetu wana viwango hafifu?

Nani kamuhonga nani we mpumbavu? Simba inabebwa waziwazi Kila mtu anaona halafu unakimbilia habari za kuhongwa? Au Simba ndio anahonga waamuzi/bodi ya ligi/TFF ili waipendelee Simba?
presha za kujitakia, nani alikuambia ukosee kubet?
 
Imekuwa ni kawaida sasa Timu mgeni zikicheza na Simba uwanja wa taifa lazima wamalize pungufu kwa mchezaji wao mmoja au zaidi kupewa redi kadi huku Simba wakipewa penati zenye utata.

Je TFF na bodi ya ligi wameyabariki haya yatokee? Au tuwalaumu waamuzi kwa upendeleo wa wazi wanaoufanya na kuziumiza timu pinzani kila zichezapo na Simba?

Niko hapa nasubili majibu
Mechi umetazama channel ten wewe
 
Basi isjali simba wakichezewa rafu mbaya tutawaambia marefa wawe wanagawa keki wa wachezaji na mashabiki wote wa timu pinzani walioko uwanjani
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Anashughulikiwa mwingine anakata kiuno mwingine.Hii dunia ina maajabu sana.
 
Imekuwa ni kawaida sasa Timu mgeni zikicheza na Simba uwanja wa taifa lazima wamalize pungufu kwa mchezaji wao mmoja au zaidi kupewa redi kadi huku Simba wakipewa penati zenye utata.

Je TFF na bodi ya ligi wameyabariki haya yatokee? Au tuwalaumu waamuzi kwa upendeleo wa wazi wanaoufanya na kuziumiza timu pinzani kila zichezapo na Simba?

Niko hapa nasubili majibu
hapana red card ni ya halali
 
hapana red card ni ya halali
Uhalali wake unatoka wapi wewe tukio la leo yule mchezaji wa mbeya city amepigwa kikumbo na sakho refa akapeta akaweka mpira wa kurusha mchezaji kaenda kumwambia refa hukuona nimesukumwa refa kampa yeye kadi ya njano ya kwanza badala ya kuweka faulo kwenda Simba.

Tukio la pili mpira wa juu wameruka wote sakho na mchezaji wa mbeya city na bahati nzuri mchezaji wa mbeya City ndio kau win mpira na kuupiga kwa kichwa. Unampaje kadi Tena ya njano mchezaji ambae ame uwin mpira kisa mchezaji pinzani aliyeukosa mpira anagaragala?

Tukio ambalo refarii apulize kipyenga Cha offside yeye anaweka penati

Na haya matukio yamekuwa ni yakujirudia rudia, Simba vs Mtibwa wachezaji wawili wa Mtibwa walilambwa red kadi, Simba vs prison tena mechi zote mbili prison wamecheza nusu
 
Ligi za nyuma suala la Simba kucheza na timu pinzani pungufu lilivuka mpaka ikaongezewa na kupewa magoli ya offside. Mwaka Jana palitulia mwaka huu imeanza Tena!

Mimi binafsi Huwa najiuliza sana Kuna nini kinaendelea kwa Simba kupewa penati, magoli ya offside na wapinzani kutolewa kwa Red card?

Simba ni timu inayofall wanalazimisha tu kuwa ni timu kubwa wakati imeshuka kiwango.

Waamuzi na TFF Wana lao jambo!

Mpira wetu unashuka kwa Kasi sababu kama hizi.
 
Nani kamuhonga nani we mpumbavu? Simba inabebwa waziwazi Kila mtu anaona halafu unakimbilia habari za kuhongwa? Au Simba ndio anahonga waamuzi/bodi ya ligi/TFF ili waipendelee Simba?
Na ww peleka kalio ubebwe
 
Imekuwa ni kawaida sasa Timu mgeni zikicheza na Simba uwanja wa taifa lazima wamalize pungufu kwa mchezaji wao mmoja au zaidi kupewa redi kadi huku Simba wakipewa penati zenye utata.

Je TFF na bodi ya ligi wameyabariki haya yatokee? Au tuwalaumu waamuzi kwa upendeleo wa wazi wanaoufanya na kuziumiza timu pinzani kila zichezapo na Simba?

Niko hapa nasubili majibu
Dada, inonga yuko wapi? Unajua kwanini hajacheza leo? Kweli wanawake mchezo wenu ni rede
 
Ndio hasara ya kutuma watu kuumiza wachezaji.

Nyie utopolo,hizi pesa mnazotumia hovyo kuharibu mpira,kuna siku atakuja Farao asiyemjua Yusufu,mtazitoa kupitia matundu yote mwilini mwenu.

Kama mna pesa mlizochota tu,basi si ni bora muwaongezee mishahara wachezaji wenu wa ndani?!Kuliko kuhonga wavuta bangi waje kuharibu mpira?!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
We jamaa ni muongo muongo Sana, unapenda Sana uzushi, haujawahi kutoa fact Zaid ya kusingizia wenzio mabaya Tu kila siku..game ilikuwa ni Simba na mbeya city timu nyingine inaingiaje sasa??
 
Uhalali wake unatoka wapi wewe tukio la leo yule mchezaji wa mbeya city amepigwa kikumbo na sakho refa akapeta akaweka mpira wa kurusha mchezaji kaenda kumwambia refa hukuona nimesukumwa refa kampa yeye kadi ya njano ya kwanza badala ya kuweka faulo kwenda Simba.

Tukio la pili mpira wa juu wameruka wote sakho na mchezaji wa mbeya city na bahati nzuri mchezaji wa mbeya City ndio kau win mpira na kuupiga kwa kichwa. Unampaje kadi Tena ya njano mchezaji ambae ame uwin mpira kisa mchezaji pinzani aliyeukosa mpira anagaragala?

Tukio ambalo refarii apulize kipyenga Cha offside yeye anaweka penati

Na haya matukio yamekuwa ni yakujirudia rudia, Simba vs Mtibwa wachezaji wawili wa Mtibwa walilambwa red kadi, Simba vs prison tena mechi zote mbili prison wamecheza nusu
Wewe ni kiharage! Yaani unakana hiyo faul ilosababisha red card? Eti kisa mchezaji kawin mpira! Je hukuona mkono ulivyompiga sakho kichwani?
 
We jamaa ni muongo muongo Sana, unapenda Sana uzushi, haujawahi kutoa fact Zaid ya kusingizia wenzio mabaya Tu kila siku..game ilikuwa ni Simba na mbeya city timu nyingine inaingiaje sasa??
Afadhali nawewe umemuona huyo jamaa ni mzushi asiyejua kitu zaidi ya umbea umbea tu na habari za kuokoteza. Yaani kufeli kwa Simba lawama zote atapeleka yanga
 
Back
Top Bottom