Wapinzani wa Simba Queens Klabu Bingwa Africa hawa hapa

Na sisi tutawaazima mwanadada wetu hatari kabisa Edna Lema (Mourinho) ili awasaidie! Kwanza ni aibu kwa dume zima kufundisha timu ya wanawake.

Bora hata kocha Boniface Mkwasa aliliona hili mapema, akakimba.

Stupid
 
Mafanikio ya Simba Queens mbona hayashadadiwi sana na vyombo vya habari vya Tanzania? Au ni jambo dogo sana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…