Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Droo ya hatua ya 32 Bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB FEDERATION CUP) imewekwa wazi ambapo Mabingwa watetezi, Yanga Sc wamepangwa dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye 32 Bora huku Simba Sc ikipangwa dhidi ya TMA Stars ya championship, huku Azam FC watacheza dhidi ya Mbeya City.
Kwenye hatua ya 16 bora mshindi kati ya Yanga Sc na Coastal Union atachuana na mshindi kati ya Polisi Tanzania na Songea Fc. Mshindi kati ya Simba Sc na TMA Stars atachuana na mshindi kati ya Tanzania Prisons na Big Man wakati mshindi kati ya Azam Fc na Mbeya City akichuana na mshindi kati ya Mtibwa Sugar na Town Stars.
RATIBA HATUA YA 32 BORA
RATIBA HATUA YA 32 BORA