Wapinzani wa Simba, Yanga, Azam Kome la Shirikisho la CRDB wawekwa wazi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Droo ya hatua ya 32 Bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB FEDERATION CUP) imewekwa wazi ambapo Mabingwa watetezi, Yanga Sc wamepangwa dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye 32 Bora huku Simba Sc ikipangwa dhidi ya TMA Stars ya championship, huku Azam FC watacheza dhidi ya Mbeya City.

Kwenye hatua ya 16 bora mshindi kati ya Yanga Sc na Coastal Union atachuana na mshindi kati ya Polisi Tanzania na Songea Fc. Mshindi kati ya Simba Sc na TMA Stars atachuana na mshindi kati ya Tanzania Prisons na Big Man wakati mshindi kati ya Azam Fc na Mbeya City akichuana na mshindi kati ya Mtibwa Sugar na Town Stars.

RATIBA HATUA YA 32 BORA



 
Sasa ingekua hiyo droo imechezeshwa na Yanga akapewa timu ya championship na Simba wamepewa timu ya ligi kuu ungesikia mbumbumbu ooooh mchongo mafia wa Yanga wanataka kuisambaratisha Simba na mambo kibao jifunzeni mpira acheni midomo yani mashabaki wa simba ni kama Kobisi yule muigizaji wa mchezo wa kombolela unaorushwa na Azam tv channel ya sinema zetu hua ni ujinga tu na uswahili maarifa hana ndio mimbumbumbu ilivyo..
 
Wewe ndio umeongea hivyo
 
No problem. Tutapambana mwanzo mwisho kutetea ubingwa.
 
Reactions: BRN
Sasa hapo yanga si anacheza na tawi lake mwambusi!
 
Kila la kheri Mnyama Simba
 
Reactions: BRN
Mnapenda kuropoka nyie, kila siku mnalalamika simba anabebwa na marefa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…