Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Good Lord....!
I still dont believe this!!!
Well... ndani ya mwaka mmoja tunaweza kuwa na Waziri Mkuu mwingine aliyejiuzulu? Well.. wapinzani inaonekana wanataka iwe hivyo. Wengi wamefikia hilo baada ya kusoma makala ya The Citizen la leo kuwa Pinda alimaanisha alichosema kuwa wananchi wawaue papo hapo wanaowatuhumu kuwa ni wauaji wa albino.
Kesho kwenye kipindi cha maswali na majibu wabunge wanasubiri kwa hamu kusikia kama PInda atathubutu kutetea msimamo wake huo Bungeni au atakanusha. Kuna kundi la wabunge wa CCM ambao nao wanasubiri kusikiliza kuwa alimaanisha nini hasa (sijui kama bado kuna utata hapo)
Unajua Mkuu MM, kama Mheshimiwa akiendelea kutetea hoja yake Bungeni, na waBunge wakiwa wakali, anaweza kabisa kutakiwa kujiuzulu. Kwa maana atakuwa anajiweka katika mambo makubwa mawili. Moja ni kutetea uvunjaji wa Katiba na sheria za nchi (ambapo kuua ni kosa la jinai) na yeye kama kiongozi mkubwa wa nchi, kutetea kwake mauaji ni kosa pia. La pili, ni kuhatarisha usalama wa Taifa. Maana watu wakianza kuuana, si rahisi kwa serikali iliyoshindwa na kuchoka kutetea/kulinda na kuzuia mauaji ya Albino ikaweza kuzuia mfumuko huo wa mauaji ya kimbari yatakayoweza kuanzishwa kutokana na kauli yake hiyo. Inachotakiwa ni yeye kufafanua kwa kukanusha matamshi yake (kama alivyofanya mwandishi wake). Hata kama itaeleweka vibaya kiasi gani, haitamuweka pabaya sana.
Hivi waTanzania tumefikia kiwango cha kutupa sahani iliyojaa 'wali' just because tumekuta jiwe moja katika wali huo?Im doubtin dat ze wapinzani are over-reacting on the matter.
Hivi waTanzania tumefikia kiwango cha kutupa sahani iliyojaa 'wali' just because tumekuta jiwe moja katika wali huo?Im doubtin dat ze wapinzani are over-reacting on the matter.
Nafikira Pinda aliteleza ulimi..akubali kuwa aliteleza ulimi bahati mbaya!
Kesho kwenye kipindi cha maswali na majibu wabunge wanasubiri kwa hamu kusikia kama PInda atathubutu kutetea msimamo wake huo Bungeni au atakanusha.
Wapinzani wanaanda hoja dhidi ya Pinda au wanasubiri kwa hamu kusikia kama kuna utetezi na kanusho?
Pinda katoa li gaffe la mwaka kama kawaida yake, li gaffe liko crystal clear, watu wakadai Pinda eti mwenyewe ndio awape nakala ya alichokisema. Pinda katuma msemaji karudia kile kile, watu wakasema hajafafanua vizuri. Pinda akaona nakala za hotuba za nini, akaenda gazetini kuongea kwa mdomo, akarudia kile kile, mara ya tatu, halafu tunaambiwa wapinzani wanasubiri tena kuambiwa mengine.
Sijui tatizo ni wapinzani au ni tunachoambiwa kinaendelea au ni mimi ambae ndio sielewi haya maluelue.
Nafikira Pinda aliteleza ulimi..akubali kuwa aliteleza ulimi bahati mbaya!
... Well.. wapinzani inaonekana wanataka iwe hivyo. Wengi wamefikia hilo baada ya kusoma makala ya The Citizen la leo kuwa Pinda alimaanisha alichosema kuwa wananchi wawaue papo hapo wanaowatuhumu kuwa ni wauaji wa albino.
Wapinzani wanaanda hoja dhidi ya Pinda au wanasubiri kwa hamu kusikia kama kuna utetezi na kanusho?
Pinda katoa li gaffe la mwaka, kama kawaida yake, li gaffe liko crystal clear, watu wakadai Pinda eti mwenyewe ndio awape nakala ya alichokisema. Pinda katuma msemaji karudia kile kile, watu wakasema hajafafanua vizuri. Pinda akaona nakala za hotuba za nini, akaenda gazetini kuongea kwa mdomo, akarudia kile kile, mara ya tatu, halafu tunaambiwa wapinzani wanasubiri tena kuambiwa mengine.
Sijui tatizo ni wapinzani au ni tunachoambiwa kinaendelea au ni mimi ambae ndio sielewi haya maluelue.