babu bulicheka
JF-Expert Member
- Mar 26, 2021
- 822
- 1,048
Wewe mkabila mbaguzi mchochezi hebu badili mwelekeo huamini Mwedazake katangulia?tusubiri zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mihuli inakutambulisha na kukufananisha na mtoa mada, poleni! Mungu atawafanyia wepesi!Mihuli ya itikadi za Magufuli haiwezi futika mioyoni mwa watanzania tabaka la chini ambao ni 90% ya watanzania wote na matajiri 4.3% wapendao haki mpaka mimi na wewe unsesoma komenti hii tufe!
Unakaribia kupelekwa MirembeJikite kwenye mada husika
Wewe zile za CHADEMA alizopiga Mbowe kwa kisingizio cha kurudishiwa mkopo aliyoikopesha CHADEMA, ulipata kiasi?ni sawa lakini lakini hata zile trillion 1.5 alizopiga magu wewe mwenyewe hukupata!!
🤣🤣🤣Maisha hayaMantiki ya kisiasa ya wapinzani wa kisiasa hapa Bongo hasa ACT wazalendo na Chadema kuwa ikitokea kuna suala fulani ndio iwe upenyo wa kupata kick za kisiasa sasa hivi halina nafasi tena. Maana watanzania wanafanya mambo yao kwa kutumia busara.
Huwezi ukawq upo Dubai umejifungia na kudhani ukijiliza kuwa kuna ufisadi au ulilipishawa kodi bil mbil ndio sababu ya kupata kick ya kisiasa.
Huwezi kukakamaa kwenye makamera ukikomaa kulazimisha hoja za ukaguzi wa CAG kuwa tayari ni undhirifu wa tril 3.6 huku ukidhani watanzania ni wajinga huku unapayuka mpaka shati linalowana kwa jasho la ukwapa kwa kudanganya watu kuwa mafuriko ya Morogoro na Rufiji yalisababishwa na ubovu wa bwawa la stieglers.
Huu sio wakati wa kuwapanda vichwa watanzania.
Wewe ni kenge wale wale, watetezi wa wezi. Unabishana na CAG!! Basi andika taarifa yako jinsi unapenda iwe upeleke bungeni.Mantiki ya kisiasa ya wapinzani wa kisiasa hapa Bongo hasa ACT wazalendo na Chadema kuwa ikitokea kuna suala fulani ndio iwe upenyo wa kupata kick za kisiasa sasa hivi halina nafasi tena. Maana watanzania wanafanya mambo yao kwa kutumia busara.
Huwezi ukawq upo Dubai umejifungia na kudhani ukijiliza kuwa kuna ufisadi au ulilipishawa kodi bil mbil ndio sababu ya kupata kick ya kisiasa.
Huwezi kukakamaa kwenye makamera ukikomaa kulazimisha hoja za ukaguzi wa CAG kuwa tayari ni undhirifu wa tril 3.6 huku ukidhani watanzania ni wajinga huku unapayuka mpaka shati linalowana kwa jasho la ukwapa kwa kudanganya watu kuwa mafuriko ya Morogoro na Rufiji yalisababishwa na ubovu wa bwawa la stieglers.
Huu sio wakati wa kuwapanda vichwa watanzania.
Kubwa jinga wewe. Mihuri umepigwa makalioni kwako wewe na mkeo. Angalao nchi ina amani kiasi sasa hivi baada ya huyo hayawani kusepa.Mihuli ya itikadi za Magufuli haiwezi futika mioyoni mwa watanzania tabaka la chini ambao ni 90% ya watanzania wote na matajiri 4.3% wapendao haki mpaka mimi na wewe unsesoma komenti hii tufe!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Wewe kweli zero kwani ripoti ya CAG imeandikwa na wapinzani.
Watanzania wanachoshukuru ni kujua kumbe awamu ya 5 ilikithiri kwa ufisadi.Mantiki ya kisiasa ya wapinzani wa kisiasa hapa Bongo hasa ACT wazalendo na Chadema kuwa ikitokea kuna suala fulani ndio iwe upenyo wa kupata kick za kisiasa sasa hivi halina nafasi tena. Maana watanzania wanafanya mambo yao kwa kutumia busara.
Huwezi ukawq upo Dubai umejifungia na kudhani ukijiliza kuwa kuna ufisadi au ulilipishawa kodi bil mbil ndio sababu ya kupata kick ya kisiasa.
Huwezi kukakamaa kwenye makamera ukikomaa kulazimisha hoja za ukaguzi wa CAG kuwa tayari ni undhirifu wa tril 3.6 huku ukidhani watanzania ni wajinga huku unapayuka mpaka shati linalowana kwa jasho la ukwapa kwa kudanganya watu kuwa mafuriko ya Morogoro na Rufiji yalisababishwa na ubovu wa bwawa la stieglers.
Huu sio wakati wa kuwapanda vichwa watanzania.
Naona ndiyo umekimbia kutoka kambi ya wakimbizi mutabilaMihuli ya itikadi za Magufuli haiwezi futika mioyoni mwa watanzania tabaka la chini ambao ni 90% ya watanzania wote na matajiri 4.3% wapendao haki mpaka mimi na wewe unsesoma komenti hii tufe!
Umeligukuza matagaKweli..
Wakati wa ccm kuwapanda vichwani Watanzania umepita