Wapinzani walidhani ripoti ya CAG itawapaisha lakini wameambulia patupu. Sasa wanatakiwa wasiwe wanakurupuka

Wewe mkabila mbaguzi mchochezi hebu badili mwelekeo huamini Mwedazake katangulia?tusubiri zetu
 
Mihuli ya itikadi za Magufuli haiwezi futika mioyoni mwa watanzania tabaka la chini ambao ni 90% ya watanzania wote na matajiri 4.3% wapendao haki mpaka mimi na wewe unsesoma komenti hii tufe!
Hiyo mihuli inakutambulisha na kukufananisha na mtoa mada, poleni! Mungu atawafanyia wepesi!
 
Haiondoi ukweli kuwa Trillion 1.5 za Chato airport hazijajulikana zilikwenda wapi...
 
ni sawa lakini lakini hata zile trillion 1.5 alizopiga magu wewe mwenyewe hukupata!!
Wewe zile za CHADEMA alizopiga Mbowe kwa kisingizio cha kurudishiwa mkopo aliyoikopesha CHADEMA, ulipata kiasi?
 
🤣🤣🤣Maisha haya
 
Wewe ni kenge wale wale, watetezi wa wezi. Unabishana na CAG!! Basi andika taarifa yako jinsi unapenda iwe upeleke bungeni.

Mpuuzi kabisa wewe.
 
Wewe ni kenge wale wale, watetezi wa wezi. Unabishana na CAG!! Basi andika taarifa yako jinsi unapenda iwe upeleke bungeni.

Mpuuzi kabisa wewe.
Lack of education is a big problem.
 
Mihuli ya itikadi za Magufuli haiwezi futika mioyoni mwa watanzania tabaka la chini ambao ni 90% ya watanzania wote na matajiri 4.3% wapendao haki mpaka mimi na wewe unsesoma komenti hii tufe!
Kubwa jinga wewe. Mihuri umepigwa makalioni kwako wewe na mkeo. Angalao nchi ina amani kiasi sasa hivi baada ya huyo hayawani kusepa.
 
Wewe zile za CHADEMA alizopiga Mbowe kwa kisingizio cha kurudishiwa mkopo aliyoikopesha CHADEMA, ulipata kiasi?
bado upo na akili ya vyama?

Kuwa mzalendo ni kuipenda nchi, sio lazima Serikali. Wakati mwingine Serikali hushikwa na kundi la waasi,wahuni au matapeli​

Hili jukwaa litaendelea kupoteza watu serious likiendelea ku entertain nyuzi za namna hii.
 
Watanzania wanachoshukuru ni kujua kumbe awamu ya 5 ilikithiri kwa ufisadi.
Wakati walikuwa wanaimbiwa mapambio kuwa ni serikale takatifu.
 
Mihuli ya itikadi za Magufuli haiwezi futika mioyoni mwa watanzania tabaka la chini ambao ni 90% ya watanzania wote na matajiri 4.3% wapendao haki mpaka mimi na wewe unsesoma komenti hii tufe!
Naona ndiyo umekimbia kutoka kambi ya wakimbizi mutabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…