Kweli ndiyo jibu la swali langu au umejibu swali tofauti? Okay ngoja nikuulize tena.Mjue watanzania sio wajinga kwamba hawana macho! Endeleeni kubaki mtandaoni!
Nchini Tanzania kati ya watu wajinga na weruvu watu gani ni wengi? Hilo ndilo swali langu.