Wapinzani wamuomba Rais Samia fursa ya kusafiri naye nje ya nchi. Awakubalia

Sisi huku Warugulu wa Matombo inatusaidia nini hizo safari za wapinzani feki
 
Kumbe kilichowapeleka ikulu ni kuomba safari za Rais?. Chama cha upinzani ni kimoja tu CHADEMA.
 
Wapinzani wa mama, au sio?
 
Kuna namna hao wapinzani uchwara wamelishwa keki.
 
Hao sio wapinzan hao ni used pedi na takataka za tawi la kizimkazi na lumumba
 

ikiwa ni wale wa chaumwa na asiitiii sawa,navyojua leo hii hata wale wa tiiieloopiii hawako tayari!
 
Hata mimi nisingesafiri na Lisu akapige makelele yake kwenye mikutano ya kimataifa na hata nywele zenyewe hachani. Tutakimbiwa wote.
 
Huyo Mwenyekiti sijui Katibu nimeona jina lake anaitwa KITUMBUA
 
Hawa wakwisha kubaliana na walianza kwa kutembezwa kwenye daraja la Magufuli/Samia ambako walimsifu sana mama na CCM.
 
Mbona safari zenyewe ni chache , au wawe wanaenda wapinzani kumuwakilisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…