Dra Maxie
Senior Member
- Dec 9, 2022
- 143
- 216
Kipindi cha Magufuli wapinzani waliweweseka sana kwasababu asillimia kubwa ya wananchi walikuwa wanamkubali, ukiachilia mbali hawa wananchi waliopo mitandaoni, walijua kabisa pale mziki ulkuwa mgumu.
Lakini kwa sasa wanajua kabisa Mama ni kama vile ana salala fulani hivi katupiwa, asilimia kubwa wako against naye na hata hao wanaomsifu ni kinafki tu. Hii inawapa advantage kubwa sana wapinzani coz inawaongezea sera na gia za kuja nazo uchaguzi ujao Mama na watu wake wanaharibu chama.
Mara wengine wanaropoka maneno ya ovyo, daaaah!