Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Check hii maamuma..!!Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Aisee 🤣Check hii maamuma..!!
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Kabisa kabisa !Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Tundu lisu ndiye anabeba lawama zote za kwa nini wapinzani hawakumuunga mkono Magufuli. Yeye ndiye alianzisha wazo la "pingapinga" (kupinga kila kitu) kwa madai ya kwamba Magufuli alianza kutekeleza sera za wapinzani kwa hiyo wao wangekosa cha kuwaambia wananchi. Viongozi wasio na maono ndivyo walivyo.Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Yani jitu linatumia id ya jina halisi alafu linaandika upumbavu.aaAisee 🤣
Acha kuvuta ugoro utafanywa pdiddyBinafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Magufuli huyu huyu aliyewachukia wapinzani kupindukia mpaka wengine kukimbia nchi kuokoa maisha yao.Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Mbona ni yeye ndie alisema katiba si kipaumbele changu? Na akazima kabisa matarajio ya mwendelezo wa pale ilipoishia?Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Very Interesting.Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Kuna wajinga wanadhani upinzani ni kupinga tuKabisa kabisa !
Tena cha ajabu walisemaga kwamba Magufuli anaifuata sera yao, lakini bado hawakutaka kumuunga mkono 😳🙄 !
Maajabu !
Jiwe aliwahitaji sana wapinzani kuna kipindi walidai anatekeleza Ilani yao sema ni pinga pingaVery Interesting.
Yaani Magufuli Alitaka ushirikiano na wapinzani? Na kupatikana kwa katiba mpya?
Mi nadhani wewe ndiye mjingaYani jitu linatumia id ya jina halisi alafu linaandika upumbavu.aa