Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

Magufuli yupi yule aliesema ingekua amri yake angefutilia mbali vyama vya upinzani? Au unamsema Magufuli alietuachia bunge kibogoyo ambalo wabunge wanabenuka sarakasi kwenye meza za bunge pale dodoma?
Upinzani usiokuwa na msaada kwa wananchi wa kazi gani ?
 
Magu alikuwa mbaya sana yaani pia alikufa akiwa ameagiza Mzee Kibao auwawe, kina Soka wapotezwe, kina Sativa waponee tundu la sindano kufa na wengine wengi ambao mpaka leo haijulikani waliko tangu wachukuliwe na polisi akiwemo aliyechoma picha yake yenye sura ya Samia.

Yaani Magu aliacha ameagiza watu wa upinzani wauwawe wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Aisee
 
Anasingiziwa mengi
 
Back
Top Bottom