The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Na nyie ccm bana mnajiona ni chama cha kujadiliwa sana! Nani ana muda wa kujadili habari ya chama cha wazee? Acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao. Kimsingi wananchi wameshapuuza huo ujinga uitwao uchagizi, sasa sijui wapi unaona ccm ni habari sana.Inavoonekana ccm wana utaalamu wa hali ya juu sana katika kucheza rough za uchaguzi.
Na dalili za wazi tunaziona kwenye chaguzi za kura za maoni ndani ya chama, na kama haufikiri kwa kina unaweza kudhani zile ni rough ndani ya ccm, lakini ukweli ni kwamba lile ni tangazo la wazi kwa upinzani kwamba sisi samba tunaluweza kwa hiyo tukishatoana ngeu huku kwetu twaja huko.
Kwa maoni yako mimi ni ccm!?Na nyie ccm bana mnajiona ni chama cha kujadiliwa sana! Nani ana muda wa kujadili habari ya chama cha wazee? Acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao. Kimsingi wananchi wameshapuuza huo ujinga uitwao uchagizi, sasa sijui wapi unaona ccm ni habari sana.
Kifupi ni kwamba upinzani wenyewe wanajua kuwa wanasindikiza na ni wasindikizajiNa nyie ccm bana mnajiona ni chama cha kujadiliwa sana! Nani ana muda wa kujadili habari ya chama cha wazee? Acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao. Kimsingi wananchi wameshapuuza huo ujinga uitwao uchagizi, sasa sijui wapi unaona ccm ni habari sana.
Ndio nyie nyie.Kwa maoni yako mimi ni ccm!?
Kwa mfumo huu wa uchaguzi, ni mtu mjinga sana anaweza kuengelea suala la ushindani. Yaani hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.Kifupi ni kwamba upinzani wenyewe wanajua kuwa wanasindikiza na ni wasindikizaji
Kwani huoni kama nakerwa na majukumu wizi wa kura uliokithiri ndani ya ccm!?Ndio nyie nyie.
Nitaonea wapi boss wangu?Kwani huoni kama nakerwa na majukumu wizi wa kura uliokithiri ndani ya ccm!?
Kwa hiyo unasoma tu kama kasuku bila kufikiriNitaonea wapi boss wangu?
Baada ya kuwachezea sana rough wapinzani,wameamua sasa kufanyiana wenyewe 😄Your right
Acha inyeshe tufahamu panapo vuja,kwani kila mara wanajificha kuwa wadhindani wao wabakakamika bure.Sasa iweje waibiane wao kwa wao?Inavoonekana CCM wana utaalamu wa hali ya juu sana katika kucheza rough za uchaguzi.
Na dalili za wazi tunaziona kwenye chaguzi za kura za maoni ndani ya chama, na kama haufikiri kwa kina unaweza kudhani zile ni rough ndani ya CCM, lakini ukweli ni kwamba lile ni tangazo la wazi kwa upinzani kwamba sisi samba tunaluweza kwa hiyo tukishatoana ngeu huku kwetu twaja huko.
Soma Pia: Kigamboni: CCM wararuana wenyewe kwa wenyewe. Vurugu zapamba moto kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama
Haya ni majangili tupuBaada ya kuwachezea sana rough wapinzani,wameamua sasa kufanyiana wenyewe 😄
Ova