johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwani mlijiandikisha?!ni kwasababu watendaji wenu wanakimbia-kimbia kila wakiona wapinzani wanakaribia ofisi wakija kufata form.
Kwanini msikae hapo ofisini 24 hrs?ni kwasababu watendaji wenu wanakimbia-kimbia kila wakiona wapinzani wanakaribia ofisi wakija kufata form.
Halafu utawasikia wameibiwa kura. Sijui nani atakuwa amewapigia!Kwani mlijiandikisha?!
Kwani mlijiandikisha?!
Utagombea bila kujiandikisha?!Unajua unaloongea? Wapinzani wanataka kujiandikisha au vyama vinachukua fomu za kugombea?
Kwanini msikae hapo ofisini 24 hrs?
Utagombea bila kujiandikisha?!
Wapeni form wakose wa kuwapigia kuraKwani mlijiandikisha?!
Watendaji wa kata ni Sumu ya Demokrasia nchini wamekuwa kero kwa wapinzani utazani CCM imewahi kupigana vita vya siraha kubwa za moto maangamizi ya kimbali na wapinzani, CCM wana chuki mbaya kwa wapinzani mpaka uliwengu mzima unashangaaWakati kesho ikiwa ndio siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa serikali za mitaa, vyama vya upinzani vimetaka muda huo usogezwe mbele.
Source Mwananchi
Unataka kutuaminisha kuwa kama mwana CCM akijiandikisha basi automatically anapiga kura yake kwa mgombea wa CCM?.Halafu utawasikia wameibiwa kura. Sijui nani atakuwa amewapigia!
Watendaji wa kata ndiyo wamevuruga uchaguzi huu wa sasa wengi ni watu wenye roho mbaya za kuchukia upinzani hususani chademaHivi hao wanaojificha ni watendaji wa kata au ni kina nani mbona sielewi
Kama mwana Chadema anaweza kumpigia kura wa CCM sina pingamizi na hoja yako. Lakini, kumbuka kuwa mara nyingi wana CCM huwapigia kura wa upinzani pale wanapokuwa hawamkubali mgombea wao.Unataka kutuaminisha kuwa kama mwana CCM akijiandikisha basi automatically anapiga kura yake kwa mgombea wa CCM?.
Kila mtu ana utashi wake,ndio maana unakuta jimbo fulani kura za rais zinakuwa nyingi kutoka chama A na ndogo kwa mbunge wa chama B.
ingekuwa wewe tena unavyonyoyesha ungeweza kukaa hapo masaa 24??Kwanini msikae hapo ofisini 24 hrs?
Muda hauwezi kuongezwa maana huo ni moja ya mikakati ya kijinga ya ccm kushinda kwa kishindoWakati kesho ikiwa ndio siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa serikali za mitaa, vyama vya upinzani vimetaka muda huo usogezwe mbele.
Source Mwananchi