Wapinzani wazee wa kudandia kila jambo mtakaposhituka October 30 2030 hiyo. Hamna mlichojiandaa

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana.

Yeye huwa hana mipango yoyote zaidi ya kudandia kila jambo unalomwekea mbele yake.
Huku anashadadia mambo yasiyomuhusu wewe unatoboa na kusonga mbele.

Wapinzani hamtafanikiwa kwa jambo lolote, labda mtafanikiwa kuwaingiza barabarani tena vijana wajinga kama ile October 29 wapigwe pin tena mpate ya kusema majukwaani.
 
Tunaangalia mstakabali wa taifa, hizi siasa zenu za kipumabvu wala hazina tija. Busy kuangalia miaka ya uchaguzi na namna mtakavyoliibia taifa.

Kimsimgi tu there's nothing you can say to defend her, she's inept!
 
Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana.

Yeye huwa hana mipango yoyote zaidi ya kudandia kila jambo unalomwekea mbele yake.
Huku anashadadia mambo yasiyomuhusu wewe unatoboa na kusonga mbele.

Wapinzani hamtafanikiwa kwa jambo lolote, labda mtafanikiwa kuwaingiza barabarani tena vijana wajinga kama ile October 29 wapigwe pin tena mpate ya kusema majukwaani.
Mimi nadhan ili CCM wajisifie wameshinda kihalali sababu wanapendwa na wananchi basi waweke fair ground na tume huru kbs.
 
Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana.

Yeye huwa hana mipango yoyote zaidi ya kudandia kila jambo unalomwekea mbele yake.
Huku anashadadia mambo yasiyomuhusu wewe unatoboa na kusonga mbele.

Wapinzani hamtafanikiwa kwa jambo lolote, labda mtafanikiwa kuwaingiza barabarani tena vijana wajinga kama ile October 29 wapigwe pin tena mpate ya kusema majukwaani.

Tume iwe huru.
Katiba mpya isiyompa mamlaka makubwa Rais iwepo.
Then utajua wapinzani wamejiandaa au hawajajiandaa
 
Kwamba nusu mlingoti utakuwa umeenda likizo? Au umeishiwa mafuta?
 
Mnawaza uchaguzi tu wakati deni la taifa limefika Trilioni 125 kwa Sasa tunavyoongea. Very stupid.
 
Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana.

Yeye huwa hana mipango yoyote zaidi ya kudandia kila jambo unalomwekea mbele yake.
Huku anashadadia mambo yasiyomuhusu wewe unatoboa na kusonga mbele.

Wapinzani hamtafanikiwa kwa jambo lolote, labda mtafanikiwa kuwaingiza barabarani tena vijana wajinga kama ile October 29 wapigwe pin tena mpate ya kusema majukwaani.
Hebu tuonyeshe ccm mko wapi na mnajadili nini, maana wote tuko hapa hapa na tunajadili haya haya. Au wazee hamuwezi kwenda na speed ya mitandao?
 
Back
Top Bottom